Jaribio la kuivamia JF kwa kusudi la kumkamta Maxence Melo halikubaliki na tunawaonya watu wanaoshiriki vitendo kama hivyo

Uoga wetu ndo unaowapa kiburi.

Siku uoga ukituisha, hakuna atayetutendea vile atakavyo bila madhara kumtokea.

Kuna sehemu hapa duniani huwezi kufanya ushenzi kama huo pasipo madhara.
Mimi naishi SA hakuna kitu utafanya kama hicho mtu atakuja kuchoma kituo na wazee ndani huku hakuna kitu wanahofia ndio maana heshima ipo sana sio mtu anakamatwa kijinga jinga tu Mzimbabwe mmoja alinyanyaswa alipokamatwa mbele ya familia yake baadae anapelekwa mahakamani kaua polisi watatu na hajulikani alipo wanabaki kuweka vizuizi bara barani kila kukicha wakiamini ipo siku atakamatwa.
 
Nashauri Mello akienda Polisi, akawataje wote wanaotukana hapa JF, hasa mtoa mada
 
Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya maxence melo kuwa jamiiforums imevamiwa siku ya leo.

Tunaungana na jamiiforums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi wanachama katika tukio la aibu la uvamizi uliofanyika kinyume cha sheria kwenye ofisi za JamiiForums,

Vitendo vyovyote vya uvamizi havina uhalali wa kisheria hata kama vinatekelezwa na polisi lazima kuna utaratibu moja kwa moja hili tunalichukulia kama jaribio la utekaji nyara.

Tunapinga kwa nguvu zote vitendo vyovyote visivyo vya kisheria na tunaonya watu wanaoshiriki kwenye vitendo hivyo vya kiuhalifu wasifikiri hawatoweza kuwajibishwa na umma. Vitendo kama hivi vinachafua taswira ya nchi yetu.
Eti Wanajifanya Wana taarifa za kiintelijensia, intellijensia bongo WTF!!
 
Tunawapiga wauni spana kiuoga wao wanatupelekea moto kinoko adi chumbani
 
Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya maxence melo kuwa jamiiforums imevamiwa siku ya leo.

Tunaungana na jamiiforums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi wanachama katika tukio la aibu la uvamizi uliofanyika kinyume cha sheria kwenye ofisi za JamiiForums,

Vitendo vyovyote vya uvamizi havina uhalali wa kisheria hata kama vinatekelezwa na polisi lazima kuna utaratibu moja kwa moja hili tunalichukulia kama jaribio la utekaji nyara.

Tunapinga kwa nguvu zote vitendo vyovyote visivyo vya kisheria na tunaonya watu wanaoshiriki kwenye vitendo hivyo vya kiuhalifu wasifikiri hawatoweza kuwajibishwa na umma. Vitendo kama hivi vinachafua taswira ya nchi yetu.
Vibaka hao Wapo against uzalendo.To hell with them!
 
Huu ndio ukweli, hatuna chochote cha kufanya zaidi ya kulalamika tu!
Sasa kama ni hivyo unavyo sema wewe, ni nini kinawawasha; si wapuuze tu mambo yaendelee kama kawaida?
Inaonekana mjinga ni wewe, na siyo wao kujuwa kwamba JF siyo ya kupuuzwa.

Kama wao wametishika na kuchukua hatua za kutaka kuvamia mtandao, wewe ni nani kudhani hawatishiki na yanayo jadiliwa hapa ukumbini?
Kama ni kelele kama unavyo dhani wewe; nenda kawaulize kwa nini wahangaishwe na kelele zisizokuwa na vitisho kwao.
 
Kuna mambo yanatokea nchi his ya ajabu sana ila huko mbeleni tutakuja
Kuona madhara yake makubwa
Hata Wale humu wanaotetea upuz huu wasijone wako salamaa

Ova
Kabisa kama Polepole alipojiona salama sana wakati wa Magufuli na kutetea uovu wote, leo hii ule uovu wote aliouasisi uko dhidi yake!
 
Kila mtu atafikiwa tu

Ova
 
Uvamizi huo mchafu haukubaliki ,chombo huru cha habari kinanyememelewa kuvuruga uhuru wa wananchi ,Kwani wanataka kufinya haki za watu?? Na ni akina nani hao??
 
Kwani walitumwa kupiga mapicha picha wakiwa wame kumbatiana mjengoni!!?

Macho hayana pazia so sisi kosa letu nini !?
 
Nimepata taarifa za uhakika kutoka kwenye account rasmi ya maxence melo kuwa jamiiforums imevamiwa siku ya leo.

Tunaungana na jamiiforums tunasimama imara kupiga kelele kulaani vikali sisi wanachama katika tukio la aibu la uvamizi uliofanyika kinyume cha sheria kwenye ofisi za JamiiForums,

Vitendo vyovyote vya uvamizi havina uhalali wa kisheria hata kama vinatekelezwa na polisi lazima kuna utaratibu moja kwa moja hili tunalichukulia kama jaribio la utekaji nyara.

Tunapinga kwa nguvu zote vitendo vyovyote visivyo vya kisheria na tunaonya watu wanaoshiriki kwenye vitendo hivyo vya kiuhalifu wasifikiri hawatoweza kuwajibishwa na umma. Vitendo kama hivi vinachafua taswira ya nchi yetu.
🙋✍️🎯👍👏🤝🙏⚖️🛡️
 
Hadi kufika 2030 tutaisha wote jamani
 
Back
Top Bottom