Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
nenda library mahakama kuu utapata mkanda mzima wa tukio lilikuwajeinafaa kuandika kitabu cha matukio haya. Kwani kuna sheria inakataza
nenda library mahakama kuu utapata mkanda mzima wa tukio lilikuwaje
kuna rafiki yangu lawyer wakati tunasoma alikuwa anaenda kuisoma hii kesi library
mkanda simaanishi video tape mkuuInakuwaje Mkuu Obama, yaani nikifika Mahakama Kuu tu wataniruhusu au kuna watu maalum na sababu maalum za kupewa huo mkanda?
Magwangala,Mkuu Yericko,huyu Meja Gen Hans Popi ndiye yule Zakariah Hans Pope ambaye ni kiongozi wa lile kundi la Friend of Simba na mwnyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Sports Club?
Never a problem of mine could be depicted to others. We had a problematic leader, highly. Believe you me, he was insane. Family heritage.
Who can deny that? not even Andrew
teh teh teh...ndo unavyojidanganya! Sina namna ya kukusaidia maana nani sio problematic leader? Uzeeni angalia Reticular Activating system yako itakuwa inakuamsha munkari ukisikia hao kina Andrew wanapeta against your own wish...
Not my problem, the problem was him and he is gone, life is too short. let me live it at the fullest, many good years of mine were stolen by one cracked leader
mkanda simaanishi video tape mkuu
namaanisha habari kamili,ukijitambulisha vizuri utapata kwenye mafaili yao au ata pale ofisi za nyaraka za serikali upanga dsm,unaweza zipata upelezi na hukumu za kesi
but kama miaka miwili iliyopita kuna muandishi wa the gurdian aliandika hizi habari kwa mfumo wa makala kwa mwaka mzima alafu mwisho aka comment kuwa hizo nyaraka sio za siri tena na akaelezea zinapopatikana
And many more will be stolen by another cracked leader...with that thoughts the vicious circle does not have an end. Think about it....why do you allow another person to steal your life? Do you know life is a precious gift and am the sole responsible person for my destination and my happiness?
zomba....lets invest in what we can do...investing in Nyerere will continue giving you hangovers...unaamka umechoka bila kunywa pombe thinking that you can change Nyerere kumbe unajilisha upepo tu maana huna unachoweza kufanya juu yake hata kuchange nukta moja ya uwezo aliokuwa nao...what a waste of time and energy. wakati unafanya hivyo wawekezaji wanavuna kwa upole tu sisi tumekazana kugombana na picha ya Nyerere. I am not one of them that fight with those hallucinations...not me in my life time
Heshima kwako mkuu,nilitaka kujiridhisha kama ndiye,BTW aliponaponaje hadi kupelekea kuwa mtu mwenye vijisenti namna hiyo?Magwangala,
..Zacharia Hans Pope hakuwahi kufikia ngazi ya Major General.
..sikumbuki alikuwa na cheo gani wakati huo, lakini nina uhakika hakuzidi cheo cha Captain.
..Zacharia Hans Pope alipatikana na makosa ya uhaini miaka ya 80.
Mkuu Yericko,huyu Meja Gen Hans Popi ndiye yule Zakariah Hans Pope ambaye ni kiongozi wa lile kundi la Friend of Simba na mwnyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Sports Club?
nasikia jamaa alihukumiwa!kifo lakini baadae wakabadilishiwa adhabu na kuwa kifungo cha maishaHeshima kwako mkuu,nilitaka kujiridhisha kama ndiye,BTW aliponaponaje hadi kupelekea kuwa mtu mwenye vijisenti namna hiyo?
Ubarikiwe sana mkuu kwa kuchochea ufahamu wangu katika historia ya nchi hii!Ndio huyohuyo!
Magwangala,Heshima kwako mkuu,nilitaka kujiridhisha kama ndiye,BTW aliponaponaje hadi kupelekea kuwa mtu mwenye vijisenti namna hiyo?
It has ended looong time ago. We now live our lives fully, we even have TV's. kwi kwi kwi teh teh teh!
Ni kweli Mzee Hans Poppe aliuwawa Uganda na kuzikwa baada ya vita vya Kagera. Sijui sana mengine ila Hans Poppe has been able to turn around things and become so successful.Wengine walioenda ndani hata sijui wameishia kona gani.Magwangala,
..this was long time ago.
..nakumbuka kulikuwa na two Hans Pope brothers waliokuwa wanashtakiwa kwa uhaini.
..kama sikosei Jaji Kiongozi Nassoro Mnzava alimuachia mmoja na kumfunga mwingine.
..this was very sad for them kwasababu Baba wa hawa jamaa alikuwa RPC Kagera ambapo alitekwa na kuuwawa na majeshi ya Amin mwaka 1972.
..zaidi, wakina Hans Pope walikuwa ni askari waliopigana vita vya Kagera.
..again, kama sijakosea mwili wa RPC Hans Pope ulikuja kupatikana wakati wa vita vya Kagera.
..sina uhakika na haya, I am just throwing this info hapa. wengine mnaweza kuja kuyathibitisha au kuyakanusha.
NB:
..labda Shwari, Jasusi, Companero, Mkandara, wanaweza kutusaidia hapa.
And benefiting with the shortcuts which we can't sustain two years after our retirements....lets talk about big and positive stuffs. Tunajazana pumba tu na kuhangaika kufanya fujo ambazo hazitachange lolote kwenye nchi yetu.
Tungekuwa tunaongea katika scale ya mambo yanayoendelea sasa in a positive way I could understand...wewe ni Nyerere tuuu utafikiri wanadamu wengine ukiwemo mwenyewe hamna hitilafu. Mimi nakataa kujiunga katika kupigana ngumi na picha ya Nyerere au yoyote awaye...and we will see the difference.
Hata hivyo, TV zinasaidia kutuonyesha ubabe wa marekani na maswahiba wake... Ndio maana niliacha kuangalia luninga nilipomuona Mubarak anatinga mahakamani, Gadhafi analia aachiwe kama mtoto mdogo, na Syria zile silaha walizonunua kupigana na Israel wanatumia kupigana wenyewe kwa wenyewe...Kweli TV zinatusaidia sana....Nyerere missed a point
Ni kweli Mzee Hans Poppe aliuwawa Uganda na kuzikwa baada ya vita vya Kagera. Sijui sana mengine ila Hans Poppe has been able to turn around things and become so successful.Wengine walioenda ndani hata sijui wameishia kona gani.