Magwangala,
..this was long time ago.
..nakumbuka kulikuwa na two Hans Pope brothers waliokuwa wanashtakiwa kwa uhaini.
..kama sikosei Jaji Kiongozi Nassoro Mnzava alimuachia mmoja na kumfunga mwingine.
..this was very sad for them kwasababu Baba wa hawa jamaa alikuwa RPC Kagera ambapo alitekwa na kuuwawa na majeshi ya Amin mwaka 1972.
..zaidi, wakina Hans Pope walikuwa ni askari waliopigana vita vya Kagera.
..again, kama sijakosea mwili wa RPC Hans Pope ulikuja kupatikana wakati wa vita vya Kagera.
..sina uhakika na haya, I am just throwing this info hapa. wengine mnaweza kuja kuyathibitisha au kuyakanusha.
NB:
..labda
Shwari,
Jasusi,
Companero,
Mkandara, wanaweza kutusaidia hapa.