Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

inafaa kuandika kitabu cha matukio haya. Kwani kuna sheria inakataza
nenda library mahakama kuu utapata mkanda mzima wa tukio lilikuwaje
kuna rafiki yangu lawyer wakati tunasoma alikuwa anaenda kuisoma hii kesi library
 
Inakuwaje Mkuu Obama, yaani nikifika Mahakama Kuu tu wataniruhusu au kuna watu maalum na sababu maalum za kupewa huo mkanda?
 
mkanda simaanishi video tape mkuu
namaanisha habari kamili,ukijitambulisha vizuri utapata kwenye mafaili yao au ata pale ofisi za nyaraka za serikali upanga dsm,unaweza zipata upelezi na hukumu za kesi
but kama miaka miwili iliyopita kuna muandishi wa the gurdian aliandika hizi habari kwa mfumo wa makala kwa mwaka mzima alafu mwisho aka comment kuwa hizo nyaraka sio za siri tena na akaelezea zinapopatikana
 
Mkuu Yericko,huyu Meja Gen Hans Popi ndiye yule Zakariah Hans Pope ambaye ni kiongozi wa lile kundi la Friend of Simba na mwnyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Sports Club?
Magwangala,

..Zacharia Hans Pope hakuwahi kufikia ngazi ya Major General.

..sikumbuki alikuwa na cheo gani wakati huo, lakini nina uhakika hakuzidi cheo cha Captain.

..Zacharia Hans Pope alipatikana na makosa ya uhaini miaka ya 80.
 
Last edited by a moderator:
Never a problem of mine could be depicted to others. We had a problematic leader, highly. Believe you me, he was insane. Family heritage.
Who can deny that? not even Andrew

teh teh teh...ndo unavyojidanganya! Sina namna ya kukusaidia maana nani sio problematic leader? Uzeeni angalia Reticular Activating system yako itakuwa inakuamsha munkari ukisikia hao kina Andrew wanapeta against your own wish...
 
Not my problem, the problem was him and he is gone, life is too short. let me live it at the fullest, many good years of mine were stolen by one cracked leader
 
And many more will be stolen by another cracked leader...with that thoughts the vicious circle does not have an end. Think about it....why do you allow another person to steal your life? Do you know life is a precious gift and am the sole responsible person for my destination and my happiness?
zomba....lets invest in what we can do...investing in Nyerere will continue giving you hangovers...unaamka umechoka bila kunywa pombe thinking that you can change Nyerere kumbe unajilisha upepo tu maana huna unachoweza kufanya juu yake hata kuchange nukta moja ya uwezo aliokuwa nao...what a waste of time and energy. wakati unafanya hivyo wawekezaji wanavuna kwa upole tu sisi tumekazana kugombana na picha ya Nyerere. I am not one of them that fight with those hallucinations...not me in my life time
 
mkanda simaanishi video tape mkuu
namaanisha habari kamili,ukijitambulisha vizuri utapata kwenye mafaili yao au ata pale ofisi za nyaraka za serikali upanga dsm,unaweza zipata upelezi na hukumu za kesi
but kama miaka miwili iliyopita kuna muandishi wa the gurdian aliandika hizi habari kwa mfumo wa makala kwa mwaka mzima alafu mwisho aka comment kuwa hizo nyaraka sio za siri tena na akaelezea zinapopatikana

Thanks a lot and hongera kwa kuchaguliwa tena for the next 4 years!!
 
And many more will be stolen by another cracked leader...with that thoughts the vicious circle does not have an end. Think about it....why do you allow another person to steal your life? Do you know life is a precious gift and am the sole responsible person for my destination and my happiness?
zomba....lets invest in what we can do...investing in Nyerere will continue giving you hangovers...unaamka umechoka bila kunywa pombe thinking that you can change Nyerere kumbe unajilisha upepo tu maana huna unachoweza kufanya juu yake hata kuchange nukta moja ya uwezo aliokuwa nao...what a waste of time and energy. wakati unafanya hivyo wawekezaji wanavuna kwa upole tu sisi tumekazana kugombana na picha ya Nyerere. I am not one of them that fight with those hallucinations...not me in my life time

It has ended looong time ago. We now live our lives fully, we even have TV's. kwi kwi kwi teh teh teh!
 
Magwangala,

..Zacharia Hans Pope hakuwahi kufikia ngazi ya Major General.

..sikumbuki alikuwa na cheo gani wakati huo, lakini nina uhakika hakuzidi cheo cha Captain.

..Zacharia Hans Pope alipatikana na makosa ya uhaini miaka ya 80.
Heshima kwako mkuu,nilitaka kujiridhisha kama ndiye,BTW aliponaponaje hadi kupelekea kuwa mtu mwenye vijisenti namna hiyo?
 
nasikia jamaa alihukumiwa!kifo lakini baadae wakabadilishiwa adhabu na kuwa kifungo cha maisha
aliachiwa kwa msamaha wa rais 1995,wakati huu alikuwa gereza la butimba pamoja na mtuhumiwa mwingine mzungu(UK) kama sikosei alikuwa anaitwa mc ghee ndo waliachiwa wote siku hiyo na kulakiwa na ndugu zao
alipo ibukia mpaka akawa milionea hizo nijuhudi zake mwenye bwana tusihoji sana!
 
Heshima kwako mkuu,nilitaka kujiridhisha kama ndiye,BTW aliponaponaje hadi kupelekea kuwa mtu mwenye vijisenti namna hiyo?
Magwangala,

..this was long time ago.

..nakumbuka kulikuwa na two Hans Pope brothers waliokuwa wanashtakiwa kwa uhaini.

..kama sikosei Jaji Kiongozi Nassoro Mnzava alimuachia mmoja na kumfunga mwingine.

..this was very sad for them kwasababu Baba wa hawa jamaa alikuwa RPC Kagera ambapo alitekwa na kuuwawa na majeshi ya Amin mwaka 1972.

..zaidi, wakina Hans Pope walikuwa ni askari waliopigana vita vya Kagera.

..again, kama sijakosea mwili wa RPC Hans Pope ulikuja kupatikana wakati wa vita vya Kagera.

..sina uhakika na haya, I am just throwing this info hapa. wengine mnaweza kuja kuyathibitisha au kuyakanusha.

NB:

..labda Shwari, Jasusi, Companero, Mkandara, wanaweza kutusaidia hapa.
 
Last edited by a moderator:
It has ended looong time ago. We now live our lives fully, we even have TV's. kwi kwi kwi teh teh teh!

And benefiting with the shortcuts which we can't sustain two years after our retirements....lets talk about big and positive stuffs. Tunajazana pumba tu na kuhangaika kufanya fujo ambazo hazitachange lolote kwenye nchi yetu.
Tungekuwa tunaongea katika scale ya mambo yanayoendelea sasa in a positive way I could understand...wewe ni Nyerere tuuu utafikiri wanadamu wengine ukiwemo mwenyewe hamna hitilafu. Mimi nakataa kujiunga katika kupigana ngumi na picha ya Nyerere au yoyote awaye...and we will see the difference.
Hata hivyo, TV zinasaidia kutuonyesha ubabe wa marekani na maswahiba wake... Ndio maana niliacha kuangalia luninga nilipomuona Mubarak anatinga mahakamani, Gadhafi analia aachiwe kama mtoto mdogo, na Syria zile silaha walizonunua kupigana na Israel wanatumia kupigana wenyewe kwa wenyewe...Kweli TV zinatusaidia sana....Nyerere missed a point
 
Magwangala,

..this was long time ago.

..nakumbuka kulikuwa na two Hans Pope brothers waliokuwa wanashtakiwa kwa uhaini.

..kama sikosei Jaji Kiongozi Nassoro Mnzava alimuachia mmoja na kumfunga mwingine.

..this was very sad for them kwasababu Baba wa hawa jamaa alikuwa RPC Kagera ambapo alitekwa na kuuwawa na majeshi ya Amin mwaka 1972.

..zaidi, wakina Hans Pope walikuwa ni askari waliopigana vita vya Kagera.

..again, kama sijakosea mwili wa RPC Hans Pope ulikuja kupatikana wakati wa vita vya Kagera.

..sina uhakika na haya, I am just throwing this info hapa. wengine mnaweza kuja kuyathibitisha au kuyakanusha.

NB:

..labda Shwari, Jasusi, Companero, Mkandara, wanaweza kutusaidia hapa.
Ni kweli Mzee Hans Poppe aliuwawa Uganda na kuzikwa baada ya vita vya Kagera. Sijui sana mengine ila Hans Poppe has been able to turn around things and become so successful.Wengine walioenda ndani hata sijui wameishia kona gani.
 
And benefiting with the shortcuts which we can't sustain two years after our retirements....lets talk about big and positive stuffs. Tunajazana pumba tu na kuhangaika kufanya fujo ambazo hazitachange lolote kwenye nchi yetu.
Tungekuwa tunaongea katika scale ya mambo yanayoendelea sasa in a positive way I could understand...wewe ni Nyerere tuuu utafikiri wanadamu wengine ukiwemo mwenyewe hamna hitilafu. Mimi nakataa kujiunga katika kupigana ngumi na picha ya Nyerere au yoyote awaye...and we will see the difference.
Hata hivyo, TV zinasaidia kutuonyesha ubabe wa marekani na maswahiba wake... Ndio maana niliacha kuangalia luninga nilipomuona Mubarak anatinga mahakamani, Gadhafi analia aachiwe kama mtoto mdogo, na Syria zile silaha walizonunua kupigana na Israel wanatumia kupigana wenyewe kwa wenyewe...Kweli TV zinatusaidia sana....Nyerere missed a point

Hitilafu moja, mbili, tatu ni ubinadam, kila kitu hitilafu, kila unachogusa hakiendi, kila mahali matatizo, mamilioni ya watu umeweka roho zao juu, hata ukitembea na kikapu unasimamishwa na kupekuliwa na mgambo. Unasema huo ni ubinaadamu.

Tofauti kubwa zilijionesha mara tu ya kung'atuka, hata Mungu akabariki na watu wakapumuwa, "ruksa", "ruksa", "ruksa" ndiyo kikawa kibwagizo cha taifa, kwa nini? jibu unalo.
 
Ni kweli Mzee Hans Poppe aliuwawa Uganda na kuzikwa baada ya vita vya Kagera. Sijui sana mengine ila Hans Poppe has been able to turn around things and become so successful.Wengine walioenda ndani hata sijui wameishia kona gani.

Kuna mwingine alieshitakiwa nao, anaitwa Rashian Roberts I think, yeye aliamua ku settle Songea na kulea familia yake. I think he is still alive. Nae ni chotara kama akina Hans Pope.
 
Back
Top Bottom