Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Utawala wowote wa ki autocrat unakuwa na uwezekano mkubwa wa kupinduliwa...kwa hiyo hilo jaribio halikuwa la kushangaza kwa wanaojua political science...

Na ndio maana pamoja na Nyerere 'kupendwa' aliajiri watu wa usalama weeengi hajabu...those days watu walikuwa wanaogopa hata vivuli vyao...huwezi kumsema vibaya Nyerere ukapona...ndio maana kina Kambona waliamua kutimkia uhamishoni.

Kikwete ni rais ambaye hawezi kujishuku kuwa anaweza kupinduliwa kwa sababu hata kama kuna wasiompenda watamsubili amalize muda wake...wanajua hatakaa ikulu milele...na ndio maana unamuona hana wasiwasi na wananchi wake....

Tofauti na akina Mseven na Kagame...

Nenda Kenya pale...Uhuru hawezi kupinduliwa...hata kama kuna wasiompenda wanajua ana ukomo wa kutawala...na wanaweza kujipanga wakakutana kwenye uchaguzi ujao na kfanikiwa kumtoa kabla ya ukomo kufika...


Ukimpindua kiongozi aliyechaguliwa ki democrasia ulimwengu utakutenga...lakini ukimpindua autocrat watu wanaona haukuwa na jinsi...

Hakujua alitendalo, kwani alitaka kumpindua mzalendo aliye ipenda nchi na watu wake. Angepindua hawa mafisadi na mawakala wa mabeberu ndiyo angeonekana shujaa wa kweli kama John Okelo!
 
Kila kitu kimawezekana...na ndio tatizo la kuwa na viongozi wafanya biashara au wenye close ties na wafanya biashara (corrupt)....maana reli ikiwa reliable nani atakodi lori?

ndiyo kiongozi
 
Mi huwa nafuatilia siasa za Nigeria kiasi...kule bwana kila Governor mpaka president ana God Father....sasa God Father ndio anayeendesha serikali....na ndio hao wafanya biashara wakubwa wanao sponsor politicians kwenye chaguzi...Ukipata madaraka na usitimize masharti mlokubaliana ya kuneemesha biashara ya God Father unaweza hata kuuawa...ni umafia mtupu

Ndio maana hili la mawaziri wasiwe wanasiasa naona ni wazo zuri...watakuwa na autonomy kubwa na less corrupt.
 
hizo tetesi za kuhasi hata mimi nimewahi kuzisikia, lengo ilikuwa ni kumaliza generation ya watu wa design hiyo
 
Eugene Maganga. Wengine
Deutrich Mbogora. Kanali Ngalomba. Uncle Tom.
Balozi Ngaiza. Zera Banyikwa . Kapt Tamimu.
Hans pope alikuwa na kaka yake.

Bela mnyikwipogolo ndemuyago ndihuma pa ndiuka.... Vahungilage avanyakae

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Baba yake aliuwawa mwaka 1971 wakati wa vita iliitwa ya MUTUKULA muda kidogo baada ya kumpindua Obote. Mzee Hanspope alikuwa RPC mkoa wa ziwa magharibi sasa Kagera. Mwili wake ulifichwa Mulago Hospital mpaka 1979 ukardishwa na kuzikwa Iringa.
 
Jamani naombeni kufahamishwa kuna jamaa mmoja anaitwa Dietrick Osward anamiliki kanisa la Winning Faith lina makao makuu yake Mbeya mjini lkn ana matawi Mbalizi, Kyela, Morogoro, Dodoma, Moshi na Dar kama sijakosea. Nasikia na yeye alikuwa miongoni mwa hawa waasi mwenye data tafadhali.
 
Kila kitu kimawezekana...na ndio tatizo la kuwa na viongozi wafanya biashara au wenye close ties na wafanya biashara (corrupt)....maana reli ikiwa reliable nani atakodi lori?

Hivi katika nchi zilioendelea viongozi hawafanyi biashara??!!!!
Bush family na Chevron ni vipi kwani??!!!
Hali ya mafuta hapo USA inakuwaje???!!!!!
Ni kweli kiongozi akifanya biashara lazima uti wa mgongo wa Taifa lazima uvunjike???!
 
duh, hii kali, sasa kwanini waliuficha?

Baba yake aliuwawa mwaka 1971 wakati wa vita iliitwa ya MUTUKULA muda kidogo baada ya kumpindua Obote. Mzee Hanspope alikuwa RPC mkoa wa ziwa magharibi sasa Kagera. Mwili wake ulifichwa Mulago Hospital mpaka 1979 ukardishwa na kuzikwa Iringa.
 
Aden Rage alikutwa na hatia akafungwa! Hata hivyo, baade alikata rufaa na akashinda rufaa ile! Kisheria, ikiwa mtu amekata rufaa na akashinda basi maana yake ni kwamba hajapata kutenda kosa husika! Yaani ikiwa ulihukumiwa miaka 30 kwa ujambazi; ukatumikia baadhi ya miaka lakini ulipokata rufaa, ukashinda rufaa yako! Hapo maana yake ni kwamba hujawahi kutenda kosa la ujambazi! Hivyo basi, Rage hajawahi kutenda kosa ambalo alifungwa!
 
Kwa nchi zenye demokrasia changa ni hatari yes...kwa kuwa kiwango cha checks and balances kiko chini sana


Hivi katika nchi zilioendelea viongozi hawafanyi biashara??!!!!
Bush family na Chevron ni vipi kwani??!!!
Hali ya mafuta hapo USA inakuwaje???!!!!!
Ni kweli kiongozi akifanya biashara lazima uti wa mgongo wa Taifa lazima uvunjike???!
 
Kwa nchi zenye demokrasia changa ni hatari yes...kwa kuwa kiwango cha checks and balances kiko chini sana

Watu "wafanyabiashara"wanakomaa kwa kasi ya ajabu ioa nchi bado bado ina demokrasia changa!!!!!!
Tunahitajia miaka mingapi ili kukomaa kidemokrasia;by then hata tuta la reli watakuwa washapandia viazi mkuu!!!!!

Loop hole hii tunayoijenga ndio serikali inaitumia kukaa kimya na passive huku hao wafanyabiashara wakifanya yao!!!
 
hivi nyerere amekoswakoswa mara ngapi kupinduliwa?

Kuna mtu aliniambia kuwa Nyerere alikoswa kupinduliwa mara 39 katika utawala wake.Na waliotaka kumpindua kundi la kwanza lilikuwa ni mikono ya Mabeberu maajenti killers wa mataifa ya kibeberu walioona yeye ni tishio kwa interests zao na sera zao afrika wakiwemo wale waliokuwa wakitaka kumwua kukomesha harakati za kupigania uhuru kusini mwa Afrika.

Kundi la pili lilikuwa ni la Viongozi wa serkali waliokuwa hawakubaliani na sera zake na staili yake ya uongozi na waroho wa madaraka.

Kundi la tatu lilikuwa la wanajeshi wa vyeo vya chini ambao walikuwa hawaridhiki na maisha yao jeshini.Hawa walikuwa wakisoma magazeti yakionyesha watu hata masajenti kama akina samuel Doe kuwa walipindua nchi wakadhani na Tanzania yawezekana makoplo na masajenti wakaweza ikala kwao.

Kilichomwokoa Mara Zote asipinduliwe ni kupendwa kupindukia na watu wa tabaka la chini ambao ndio wengi mijini na vijijini.Hawa walijitolea kumlinda bure kwa gharama yeyote.Hivyo siri na mikakati yote ilikuwa na uwezo wa kujulikana mapema mno tena bila serikali kutumia gharama.Alikuwa kipenzi cha watu na watu ndio walikuwa watoa siri na walinzi wake.Ulinzi wake ulikuwa jukumu la kila mtanzania.

Ndio maana kila juhudi za kumpindua hazikufanikiwa.
 

Acha uzushi wa kumuhusisha Zacharia na wakina Lowassa; yeye anafanya biashara zake na ndugu zake kusafirisha mafuta hana ushirika na hao mafisadi!!!
 
Kuwa na demokrasia ilokomaa haina uhusiano na miaka...mfano South Korea wameshakomaa na walianza miaka ya 90s kukubali demokrasia...

Tutakomaa pale watu watakapojitambua...democrasia ina uhusiano na kiwango cha elimu na ukuaji wa uchumi...mtu masikini hawezi kufikiri vizuri...akipewa elfu 10 ana trade his/her vote bila kujali atakayemuongoza ni fisadi au ana potential ya kumvusha kwenye wimbi la umasikini ....



 


Ulianza na "wafanyabiashara" sasa umetanua wigo unataja "watu" hivi kwa mpangilio wa maelezo yako kuna sehemu utaona umuhimu wa serikali kuwajibika na kufanya pre requisites ili wafanyabiashara na watu waweze kuwa sehemu ya maendeleo badala ya kuwa sehemu ya lawama???!!!!
 
Siongelei lawama...naongelea separation of power...wafanyabiashara tunawahitaji sana na tunawapenda...lakini waendelee tu kufanya biashara lakini wasiwe na kofia tatu...

Chunguza kinachodidimiza uchumi wa nchi nyingi za Afrika utakubaliana na ninachokwambia

Nimeongelea watu kwa sababu serikali ni ya watu na kwa ajili ya watu...nikiwa na maana ya wananchi...kama kuna democrasia kiongozi hawezi kutumia ofisi ya umma anavyotaka...atawajibishwa haraka na si kwa kusuasua...

Kwanza fikiri mtu ambaye ni mfanyabiashara halali anapata wapi muda wa kufanya politics...au anategemea politics zineemeshe biashara? through public procurements


 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…