nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,379
Utawala wowote wa ki autocrat unakuwa na uwezekano mkubwa wa kupinduliwa...kwa hiyo hilo jaribio halikuwa la kushangaza kwa wanaojua political science...
Na ndio maana pamoja na Nyerere 'kupendwa' aliajiri watu wa usalama weeengi hajabu...those days watu walikuwa wanaogopa hata vivuli vyao...huwezi kumsema vibaya Nyerere ukapona...ndio maana kina Kambona waliamua kutimkia uhamishoni.
Kikwete ni rais ambaye hawezi kujishuku kuwa anaweza kupinduliwa kwa sababu hata kama kuna wasiompenda watamsubili amalize muda wake...wanajua hatakaa ikulu milele...na ndio maana unamuona hana wasiwasi na wananchi wake....
Tofauti na akina Mseven na Kagame...
Nenda Kenya pale...Uhuru hawezi kupinduliwa...hata kama kuna wasiompenda wanajua ana ukomo wa kutawala...na wanaweza kujipanga wakakutana kwenye uchaguzi ujao na kfanikiwa kumtoa kabla ya ukomo kufika...
Ukimpindua kiongozi aliyechaguliwa ki democrasia ulimwengu utakutenga...lakini ukimpindua autocrat watu wanaona haukuwa na jinsi...

Hakujua alitendalo, kwani alitaka kumpindua mzalendo aliye ipenda nchi na watu wake. Angepindua hawa mafisadi na mawakala wa mabeberu ndiyo angeonekana shujaa wa kweli kama John Okelo!