Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,236
Na taratibu za kuziweka wazi taarifa kama hizi zipo vipi kwa taifa letu?It's true tuna tatizo la kutoweka kumbukumbu za matukio muhimu kwa taifa letu.
Kesi ilipoanza mwanzo ilikuwa na washitakiwa 46, washitakiwa 23 waka confess na kugeuzwa mashahidi wa jamhuri wakabaki washitakiwa 23, wawili wakaachiwa kwa no prima facie wakabaki 21, kwenye hukumu wawili were aquited 19 ndio wakakutwa na hatia. Nimesearch majina yao online sikufanikiwa.
P