balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Alisha RIP kitambo sanaUncle Tom yu wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alisha RIP kitambo sanaUncle Tom yu wapi
Kwani walifanywa nini hata kuwa hivyo?Hata yeye hayupo sawa sana
Sikutajiwa jina mkuu. Kwan huyo Kombe ni nani? Naye alikuwemo kwenye hili sakata?Kombe.??
Ni kweli.osward mbogoro.naye alihusika kwa sasa ni askofu wa kanisa hilo kuna nyakati huabudu kwenye kanisa hilo Dodoma,Mbeya na mbaliziJamani naombeni kufahamishwa kuna jamaa mmoja anaitwa Dietrick Osward anamiliki kanisa la Winning Faith lina makao makuu yake Mbeya mjini lkn ana matawi Mbalizi, Kyela, Morogoro, Dodoma, Moshi na Dar kama sijakosea. Nasikia na yeye alikuwa miongoni mwa hawa waasi mwenye data tafadhali.
Japo historia haisemi wazi juu ya mambo mengi sana Tanganyika na Tanzania ya leo, lakini Mwalimu Nyerere tangu awe kiongozi wa nchi hii amenusurika mapinduzi MATATU,
Moja ni la mwaka 1964, lapili ni la mwaka 1970 na la mwisho ni la mwaka 1980 (Sina uhakika sawa na hiyo miaka)
Jaribio la kwanza ndilo lilipelekea kuundwa kwa JWTZ na lilizimwa kwamsaada wa Malkia wa Uingereza aliyetuma makomandoo maalumu na wakafanikiwa, Jaribio la pili ndilo lililopelekea kuundwa kwa Usalama wa Taifa na kikosi maalumu cha ulinzi wa Rais,
na jaribio la mwisho ndio lilipelekea kubadili sera ya usalama wa Taifa kwa kuwapandikiza kila kwenye sekta na kuwa kila mtu ni mlinzi wa nchi hii (usalama)
Sikumbuki vema lakwanza kama liliongozwa na nani lakini Kambona ndie alimficha Mwalimu, lapili sikumbuki vema, lakini la mwisho liliongozwa na baadhi ya wanajeshi wa kikosi cha Anga cha Ukonga Banana,
Na mipango yao iliharibikia palepale Banana baa baada ya mmoja wao kulewa na kuanza kuongea hovyo hasa akisema yeye anataka cheo cha uwaziri mkuu!
Enzi hizo 1980+ mmoja wa makamanda wa usalama wa taifa aliyeongoza kuwadhibiti waasi hao ni Mabere Marandu,
Na alifanikiwa kuongoza oparesheni za kumsaka na kumuua mmoja wa makomandoo ambae alikuwa ameandaliwa rasmi kumuua Nyerere,
Mapambano yalikuwa ni makubwa kutoka airport hadi kinondoni ulipo ubalozi wa Marekani sasa ndipo walipofanikiwa kumuua!
Jambo la kuwashangaza waasi wale (wanajeshi) wote Mwalimu aliwaita ikulu,
akamwambia kiongozi wa mapinduzi yale (simkumbuki) kuwa
"Shika bunduki uniue wewe mwenyewe kwamkono wako ili uwe rais wa nchi hii"
jamaa aliomba radhi huku akitambaa kisha mwalimu akasema
"nimewasamehe wote"
na aliwapa vyeo na kazi, wengi walikwenda kuwa mabalozi wa Tz nchi za nje!
Sisi hapa tunasema kama porojo tu, lakini yapo mengi sana nyuma ya pazia!
Watawala wanahisi kuyataja ni kama kuharibu sifa ya Tanzania na wengine wanaona kama itaharibu sifa ya Mwalimu.
Mimi binafsi nafikiri kama yatasemwa hadharani yataongeza sifa ya Mwalimu Nyerere na utawala wa ccm ya kale!
Atakuwa ni kiongozi pekee barani afrika na duniani aliyenusurika majaribio matatu ya uasi,
Atakuwa ni kiongozi wa kwanza duniani kuwasamehe waasi kwa mda huohuo wa uasi (baada ya kuwakamata) na kuwapa kazi nyingine za kitaifa
Atakuwa ni kiongozi pekee duniani aliye ng'atuka kwa amani na kwenda kuishi kijiji tena bila hata ulinzi, akitembelea land rover ya shamba miaka mitano tu baada ya jaribio kali la mapinduzi ya Banana Ukonga!
Hizo zote zilikuwa ni sifa zake ambazo watawala wa leo kwa makusudi ama kwakujua au kutojua wamefifisha nyota ya mwana wa Afrika mbele ya uso wa mataifa!
Na kwakuwafahamisha tu ni kuwa mmoja ya wanajeshi hao walioasi ni Meja Gen Hans Popi yule mwenye Sams Super Store pale Mbezi Makonde!
Kwakifupi hayo ndiyo ninayafahamu,
Wapo, ila hivi sasa wanafanya mambo mengine humu humu JFHawa jamaa wa JF ya zamani walienda wapi? Maana hizi nondo zinavyoteleshwa sio za kisport sport
Yes alikuwepo wakati huo alikuwa ni Captain Dietrick Osward Mbogoro wa JWTZ Lugalo Barracks.Jamani naombeni kufahamishwa kuna jamaa mmoja anaitwa Dietrick Osward anamiliki kanisa la Winning Faith lina makao makuu yake Mbeya mjini lkn ana matawi Mbalizi, Kyela, Morogoro, Dodoma, Moshi na Dar kama sijakosea. Nasikia na yeye alikuwa miongoni mwa hawa waasi mwenye data tafadhali.
Mbona inasemekana aliyebaki hai hadi leo ni mmoja tuu, yule jamaa wa Simba Sc!Yes alikuwepo wakati huo alikuwa ni Captain Dietrick Osward Mbogoro wa JWTZ Lugalo Barracks.
P
Kwa mizengwe au natural death mkuu?Alisha RIP kitambo sana
Pengine wameona matokeo yake yatakuwa hasiKwenye vitabu wanatujazia Mambo ya Berlin conference sasa ya nin?
Waandike history kama hii!
Sio kweli, nadhani huyo jamaa wa Simba kwa sababu ni maarufu ndio anajulika lakini naamini kuna wengine baadhi watakuwepo wapo japo siwajui.Mbona inasemekana aliyebaki hai hadi leo ni mmoja tuu, yule jamaa wa Simba Sc!
Asante mkuu. Ila mbona haya mambo hayawekwi wazi hata kwenye historia yetu?Sio kweli, kuna wengi wapo japo siwajui.
P.
It's true tuna tatizo la kutoweka kumbukumbu za matukio muhimu kwa taifa letu.Asante mkuu. Ila mbona haya mambo hayawekwi wazi hata kwenye historia yetu?
Anasikika kwa sababu ni tajiri na ameingia kwenye siasa za soka, naamini wengine bado yuko.Mbona inasemekana aliyebaki hai hadi leo ni mmoja tuu, yule jamaa wa Simba Sc!
Labda siyo wote lakini kuna ambao wametajwa hapa - #542.It's true tuna tatizo la kutoweka kumbukumbu za matukio muhimu kwa taifa letu.
Kesi ilipoanza mwanzo ilikuwa na washitakiwa 46, washitakiwa 23 waka confess na kugeuzwa mashahidi wa jamhuri wakabaki washitakiwa 23, wawili wakaachiwa kwa no prima facie wakabaki 21, kwenye hukumu wawili were aquited 19 ndio wakakutwa na hatia. Nimesearch majina yao online sikufanikiwa.
P