Jerry Ekky
JF-Expert Member
- May 6, 2018
- 1,683
- 5,236
Na taratibu za kuziweka wazi taarifa kama hizi zipo vipi kwa taifa letu?It's true tuna tatizo la kutoweka kumbukumbu za matukio muhimu kwa taifa letu.
Kesi ilipoanza mwanzo ilikuwa na washitakiwa 46, washitakiwa 23 waka confess na kugeuzwa mashahidi wa jamhuri wakabaki washitakiwa 23, wawili wakaachiwa kwa no prima facie wakabaki 21, kwenye hukumu wawili were aquited 19 ndio wakakutwa na hatia. Nimesearch majina yao online sikufanikiwa.
P
Taharuki ilikuwa ya ukubwa gani wakati huo kwa watu wa kawaida waliokuwa maeneo jirani?Marekebisho:
Huyo komandoo aliyeuawa hakuuwawa jirani na ubalozi wa Marekani sijui kwa nini watu wanapotosha.Na hii habari ilikuwa wazi kabisa.
Mimi nikuwa naishi O/bay jirani sana na huo ubalozi wa USA wa zamani kwa nyuma.
Huyo Kamandoo aliuawa kinondoni pale inapoanza down ya kwenda magomeni , alidandia pickup ya wazi baada ya kuwatoroka ghafla waliomkamata..
Nakumbuka kama alikuwa anaitwa Tammim
Taharuki ilikuwa ya ukubwa gani wakati huo kwa watu wa kawaida waliokuwa maeneo jirani?
Huyu jamaa alikuwa miongoni mwao wale walio asi au?Uzi huu hauwezi kukamilika bila kutaja mchango wa shahidi wa serikali, jasusi mzoefu aliyesambaratisha ngome ya uhaini, aliyetambukiwa kwa jina la siri "Mr. X" katika kesi ya uhaini.
Ambaye leo ni Waziri wa Sheria, balozi Augustine Philip Mahiga.
Ni kweli mkuu maana siku moja nlikua IRINGA cha ajabu ni kuwa historia ya mtemi Mkwawa tunayoisoma kwenye vitabu inaonekana ni ya kupikwa sana si kile ambacho wenyeji wanakifahamu.
Mkwawa anaonekana kuwa alikuwa ni kiongozi aliyetumia diplomasia sana na uchawi sana kutaka kupata suluhu na wajerumani lakini tunaambiwa alikua shujaa aliyepambana na wajerumani mpaka dakika ya mwisho wakati ukweli ni kuwa aliwakimbia wajerumani kwa kutaka kujiokoa baada ya diplomasia na utabiri wa mganga wake wa kienyeji kuwa atawashinda wajerumani kushindwa.
Ninachojiuliza hapa je ni kweli kuwa historia ya nchi hii nyingi ni ya kupika??
kwa nini matukio mazito kama haya ya mapinduzi ya kijeshi hayatajwi katika historia ya hii nchi?
Sio kweli, kuna wengi wapo japo siwajui.
P.
It's true tuna tatizo la kutoweka kumbukumbu za matukio muhimu kwa taifa letu.
Kesi ilipoanza mwanzo ilikuwa na washitakiwa 46, washitakiwa 23 waka confess na kugeuzwa mashahidi wa jamhuri wakabaki washitakiwa 23, wawili wakaachiwa kwa no prima facie wakabaki 21, kwenye hukumu wawili were aquited 19 ndio wakakutwa na hatia. Nimesearch majina yao online sikufanikiwa.
P
Mbona mkuu unatoka nje ya mada?Ukweli wa haya yote utakuja kuusikia CHADEMA wakiingia Mjengoni
Tuna sheria ya national achieves ambapo documents muhimu zote za serikali zinatakiwa kuhifadhiwa kwenye idara ya kumbukumbu za taifa ili ziweze kuwa accessed in future including classified documents kama confidential reports, secret documents na top secret documents ambazo zinaendelea kuwa classified kwa miaka 33, 66 na 99 na muda huo ukipita zinakuwa declassified hivyo kuwa open kwa public.Na taratibu za kuziweka wazi taarifa kama hizi zipo vipi kwa taifa letu?
1982 ndio nimeanza form one Tambaza ila nilikuwa naisikiliza redioni na kuisoma naisoma gazetini kwenye gazeti la Mzalendo linatoa weekly highlights.Hii kesi hukuwa ukihudhuria mahakamani?
Mwanzo washitakiwa walikuwa watu 46 mostly jnr offices at around 21-25 years hiyo 1982 hivyo sasa watakuwa around 60s, nimesema some wapo kwa sababu mmoja ni maarufu anajulikana sana yupo hai na ninamfahamu.Kama huwajui umejuaje wako hai?
Mkuu Shwari, asante sana kwa hii link.Labda siyo wote lakini kuna ambao wametajwa hapa - #542.
Mkuu Shwari, asante sana kwa hii link.
P
Alikuwa ni kati ya viongozi wa usalama wa taifa waliopangua mipango ya waasi.Huyu jamaa alikuwa miongoni mwao wale walio asi au?
Sawa Mkuu Pascal wengine wapo hai kwa mfano yule Mkude aliyekuwa mkufunzi wa mgambo Morogoro, mimi nilipanga nyumba yao kule Morogoro na nilikuwa napiga nae story jioni.Mwanzo washitakiwa walikuwa watu 46 mostly jnr offices at around 21-25 years hiyo 1982 hivyo sasa watakuwa around 60s, nimesema some wapo kwa sababu mmoja ni maarufu anajulikana sana yupo hai na ninamfahamu.
P
Charles Kizigha anapaswa aandike kitabu, mimi nilimsoma nikiwa chuo cha journalism TSJ, aliripoti kutekwa kwa ndege ya ATC, ndie mwandishi wa kwanza na labda wa pekee nchini Tanzania niliyemfahamu mimi, kumiliki gari brand new kutoka show room, alimiliki gari ya Musso new brand kutoka dukani!, waandishi wengine wote gari zetu ni used, ila sijui kwa waandishi wadada, maana wenzetu hawachelewi kununuliwa magari na ma source!.Asante sana ndugu Pascal kwa maelezo hayo. Ni ya kusisimua.
Nimefahamiana na Charles Kizigha kwa miaka mingi sana.