Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimewahi kusikia kama ishu ya kambona ilikuwa ya kupika?????? sijui ukweli anyway!
Hii ya 1982 ndio leo nimejuzwa! tatizo lilikuwa nini???
Mix with yours
Kambona alikuwa hakukubaliana na Azimio la Arusha hivyo alikimbia uhamishoni Uingereza kama mkimbizi wa kisiasa hivyo akiwa nje alianza mipango ya kufanya mapinduzi. Lakini pia baada ya maasi ya 1964 picha zilikuwa haziendi kati ya Mwalimu na Kambona.nimewahi kusikia kama ishu ya kambona ilikuwa ya kupika?????? sijui ukweli anyway!
Hii ya 1982 ndio leo nimejuzwa! tatizo lilikuwa nini???
Mix with yours
Sasa hutaki watu wajifunze?Mbona mnarudia mada ambazo tayari tulishazijadili sana hapa?
Kabla huanzisha uwe unajaribu kupekua pekua hapa jf mkuu
Katika kumkumbuka Baba wa Taifa pamoja na mazuri yaliyofanya lakini pia tukumbuke na misukosuko aliyowahi kuipata ikiwemo majaribio ya kutaka kupinduliwa Serikali yake yaliyotaka kufanywa na wakorofi wachache kwenye kipindi cha utawala wake.
- Jaribio la kwanza: Mwaka 1964 Jeshi la wakati huo la Tanganyika Rifles lilipofanya maasi
- Jaribio la pili: Mwaka 1972 hayati Kambona alishirikiana na Kapteni Lifa Chipaka, Bi Titi Mohamed, na Michael
Kamaliza.
- Jaribio la tatu: Mwaka 1982 maafisa wa jeshi wakiongozwa na Komandoo Mohamed Tamimu.
Pamoja na majaribio hayo ya mapinduzi lakini pia mara kadhaa alinusurika kuuwawa kabla uhuru na baada ya wakati akitawala.
kambona aliondoka Tanzania kabla ya 1972
Historia inatakiwa iwekwe wazi ili vijana wetu waijue siyo historia ya kumwagia sifa tu kama malaika.Tanzania na historia za kupikwa
Kawawa alimshauri akimbie akajifiche Kigomboni asikubali kuonana na waasi kufanya nao mazungumzo wangemuua.duh! kumbe nyerere katoka mbali. mpaka alifikia kujificha kigamboni ili wasimshekhe ponda.
Wanajeshi walifanya maasi wakati huo, walitokea kwenye kambi kuu ya kijeshi wakati huo alikua inaitwa Colito barracks(Lugalo) sababu kubwa walitaka maafisa wa kijeshi wa kizungu waondoshwe.duh! kumbe nyerere katoka mbali. mpaka alifikia kujificha kigamboni ili wasimshekhe ponda.

Namsikiaga huyu jamaa sijui ni kwenye michezo..
Hivi anafanya au anamiliki kampuni zinazojihusisha na biashara gani?