mpenda pombe
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 1,406
- 711
Yupo Simba na Rage
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijajua kwa nini hajawahi kuhojiwa tupate uhondo wa ilivyokuwa.
!!Ameshindwa tena kufanya mapinduzi huko Zanzibar juzi. Amefungwa tena!
Sent from my GT-P7500
sijajua kwa nini hajawahi kuhojiwa tupate uhondo wa ilivyokuwa.
sijajua kwa nini hajawahi kuhojiwa tupate uhondo wa ilivyokuwa.
Ni kiongozi wa Malori ya akina Lowassa,
mm sifa nyingine huwa nashindwa kuzimeza
Yaani kuua Shirika la Reli ili mpate Biashara ya kupeleka mizigo Rwanda nayo ni sifa kweli?
Je Mwakyembe anapowakaribisha Wachina waifufue na kuua biashara ya malori si mtamlaani
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/586769-high-speed-train-in-tz-wachina-watajenga.html
Najiuliza mtaji wa biasara yake kubwa hivi kapata wapi? Au ndio hizi tetesi chini ya kapeti yeye ndie alie wachoma weziwe? Maana wenzake wamekufa na kama wako walio hai wapo hoi ila jamaa yupo fiti je kulikoni?????
Hivi kifo cha reli unawalaumu wafanyabiashara mkuu???!!!!
Mwambie Salama amwalike kwenye kipindi cha MIKASI!
Umeona eeh...kumbe na wewe unajua kuwa kulikuwa na wasaliti katika kundi....namjua msukuma mmoja (jina limenitoka) alifia Ukonga...leo huyu yuko uraiani....ametokaje?
Eugene Maganga. Wengine
Deutrich Mbogora. Kanali Ngalomba. Uncle Tom.
Balozi Ngaiza. Zera Banyikwa . Kapt Tamimu.
Hans pope alikuwa na kaka yake.