Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Tunashukuru kwa kuanza....kwa wanaojua historia yake tafadhali naomba mjaziejazie nyama hapa.
 
sijajua kwa nini hajawahi kuhojiwa tupate uhondo wa ilivyokuwa.

He is a tough guy kwa waandishi hawa wa "kisasa" anaweza kwenda kuhojiwa yeye muandishi; waulize EWURA wakati wa sakata la kuchakachua mafuta na adhabu kwa wamiliki watakupa ABC'c!!!!!!!
 
Alishahojiwa wskati anatoka kifungoni kabla mzee mwinyi hajamkabidhi mjomba mkapa nchi.
wenzake aliofungwa nao wameshaaga dunia akiwemo ndugu yake.
 
Najiuliza mtaji wa biasara yake kubwa hivi kapata wapi? Au ndio hizi tetesi chini ya kapeti yeye ndie alie wachoma weziwe? Maana wenzake wamekufa na kama wako walio hai wapo hoi ila jamaa yupo fiti je kulikoni?????
 
Nasikia alipokua amefungwa alifungwa pamoja na askari mmoja wa congo drc. Askari yule walikua marafiki na alim ahidi akiwahi kutoka atampa dili la biashara congo. Alipotoka akaongea na dada yake aliyeolewa germany akampa kamtaji kadogo ka biashara,akaji connect na yule askari wa congo,Ndio huyo alimpa mchongo mpaka akanyanyuka kibiashara. Hizi zinaongelewa mtaani' ila general speaking huyu jamaa ni mzuri kwa business management! Kudos.
 
Kila siku nilikuwa najiuliza huyu Hans nayemsikia ndo yule alitaka kupindia serikali? Kumbe ni yeye...

Ila kabla hujasema kuwa ni hero embu wajuzi wa mambo waje waweke record sawa....

Mimi nilikuwa mdogo sana lakini nimeishi jirani na baadhi ya waliotaka kupindua serikali...lakini wengi walifia jela...iweje yeye yuko uraiani....

Kumbuka katika hili kundi wengine walikuwa wamepandikizwa kama spies (si unajua Mwalimu alikuwa na spies kila kona) na mwisho wa mchezo wakawasaliti wenzao....Kuna mmoja alikuwa anaitwa Rwebangira (kama nakumbuka) alikimbilia sijuhi US...na ikasemekana alikuwa mtu wa State House.

Haya mnaojua story tuleteeni news kwa nini huyu yuko uraiani?
 
Umeona eeh...kumbe na wewe unajua kuwa kulikuwa na wasaliti katika kundi....namjua msukuma mmoja (jina limenitoka) alifia Ukonga...leo huyu yuko uraiani....ametokaje?

Najiuliza mtaji wa biasara yake kubwa hivi kapata wapi? Au ndio hizi tetesi chini ya kapeti yeye ndie alie wachoma weziwe? Maana wenzake wamekufa na kama wako walio hai wapo hoi ila jamaa yupo fiti je kulikoni?????
 
Umeona eeh...kumbe na wewe unajua kuwa kulikuwa na wasaliti katika kundi....namjua msukuma mmoja (jina limenitoka) alifia Ukonga...leo huyu yuko uraiani....ametokaje?

Eugene Maganga. Wengine
Deutrich Mbogora. Kanali Ngalomba. Uncle Tom.
Balozi Ngaiza. Zera Banyikwa . Kapt Tamimu.
Hans pope alikuwa na kaka yake.
 
Wengi waliotoka jela hususani kwa kesi za Uhaini hufanikiwa mfano akina Mandela Zuma na wengineo wengi tu ngoja alie kivulini kwani aliteseka sana gerezani
 
Kuna mmoja alikuwa anaitwa Metusela Komando ; huyu ndio nasikia alifia jela...yani nilikuwa namjua na usingeweza kumdhania kuwa ana ujasiri wa kupindia serikali

Eugene Maganga. Wengine
Deutrich Mbogora. Kanali Ngalomba. Uncle Tom.
Balozi Ngaiza. Zera Banyikwa . Kapt Tamimu.
Hans pope alikuwa na kaka yake.
 
Back
Top Bottom