Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Na kumbuka 2009 mmoja wa hawa watuhumiwa alitoa mfululizo wa makala ya mwenendo mzima wa kesi ya uhaini ktk Gazeti la Mtanzania
 
mdukuzi Hujui unachokisema. Jaribu kuuliza historia sahihi ya akina Poppe. Ni huruma ya Nyerere ndiyo iliyowafikisha Jeshini lakini yeye kulipa kwake fadhila alitaka kumpindua. Kwa kukusaidia tu uliza walimu waliomfundisha Chuo cha Maafisa wa JWTZ, utapata at least what kind of a guy he is!
 
Last edited by a moderator:
Hujui unachokisema. Jaribu kuuliza historia sahihi ya akina Poppe. Ni huruma ya Nyerere ndiyo iliyowafikisha Jeshini lakini yeye kulipa kwake fadhila alitaka kumpindua. Kwa kukusaidia tu uliza walimu waliomfundisha Chuo cha Maafisa wa JWTZ, utapata at least what kind of a guy he is!
maisha yalikua magumu sana nadhani enzi hizo..kwani hilo halikua jaribio la kwanza la kumtoa madarakani nyerere.
 
ninachojiuliza kila siku huyu jamaa alianzaje hadi leo hii ni tajiri wakati wenzake hali mbaya???
 
Na kumbuka 2009 mmoja wa hawa watuhumiwa alitoa mfululizo wa makala ya mwenendo mzima wa kesi ya uhaini ktk Gazeti la Mtanzania

Ilikuwa Gazeti la Tanzania Daima.Kwakuwa jamaa alikuwa anaongea vitu Indeep sana! Wakubwa wakapiga marufuku zile Makala ila wengine tulikuwa tunajifunza kwenye zile MAKALA!
 
Hujui unachokisema. Jaribu kuuliza historia sahihi ya akina Poppe. Ni huruma ya Nyerere ndiyo iliyowafikisha Jeshini lakini yeye kulipa kwake fadhila alitaka kumpindua. Kwa kukusaidia tu uliza walimu waliomfundisha Chuo cha Maafisa wa JWTZ, utapata at least what kind of a guy he is!

Mkuu wengine 2natamani kuijua hiyo Historia natunategemea JF kwakua kuna watu mnaofahamu cvibaya ukaweka kile unachokifahamu Tuendelee kujifunza!
 
Kama kuna anayekumbuka hii picha;
Hans Pope ndiye mfadhili mkuu wa hivi vituo;
picha.jpg
 
Ilikuwa Gazeti la Tanzania Daima.Kwakuwa jamaa alikuwa anaongea vitu Indeep sana! Wakubwa wakapiga marufuku zile Makala ila wengine tulikuwa tunajifunza kwenye zile MAKALA!

Mkuu wengine 2natamani kuijua hiyo Historia natunategemea JF kwakua kuna watu mnaofahamu cvibaya ukaweka kile unachokifahamu Tuendelee kujifunza!

Eugene Maganga alitoa simulizi hiyo katika gazeti la Rai, bila shaka ilikuwa miaka ya Tisini au mwanzoni mwa miaka ya 2000. Binafsi nimeshajaribu sana kuitafuta softcopy ya simulizi ile ila sijafanikiwa. Eugene Maganga alikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha stori hiyo ila mauti yalimkuta akiwa bado hajatimiza nia yake. Labda akina Jenerali Ulimwengu wanaweza kuipata hiyo stori kwenye archive zao!
 
Hujui unachokisema. Jaribu kuuliza historia sahihi ya akina Poppe. Ni huruma ya Nyerere ndiyo iliyowafikisha Jeshini lakini yeye kulipa kwake fadhila alitaka kumpindua. Kwa kukusaidia tu uliza walimu waliomfundisha Chuo cha Maafisa wa JWTZ, utapata at least what kind of a guy he is!

...mkuu tupia nyama jukwaani basi,asa mambo ya kwenda kuuliza wakati hatuwajui hao watu itakuwa ngumu sana. chamsingi weka mambo hadharani,au unamuogopa jamaa ni gaidi...
 
Why not wakati wafanya Biashara wenyewe ndio hao mawaziri?
Umesahahau ya Maige na kununua nyumba ya 500Mil kusingizia Biashara ya Malori ?

By the way hawa wakina Hans ni Proxy tu wenyewe ni Viongozi serekalini.

Hapo ndio pazuri sasa tusilaumu "wafanyabiashara" blanket language hii ndio inatuponza na kushindwa kubaini mchawi! !!!!

Huwezi kuwa na serikali inayotambulika halafu suala la reli likakosa majibu eti sababu kuna watu humo wana fanya biashara ya usafiri,hii ni kuikwepesha serikali na uwajibikaji!!!! Reli inakufa sababu sio priority ya serikali in other words the state will towards this sector is weak if at all it is there!!!!!!

Serikali za kibepari viongozi wanafanya biashara tena kubwa kabisa lakini hatuoni kutingishika kwa maslahi ya Taifa kwa upana wake sababu hiyo!!!!!!
 
Jamaa amekaa gerezani miaka 12 lakin Kuna watu walikuwa huru kwa miaka hyo still jamaa katoka na kuwapita kiuchum .....hii inanifanya nizid kuamini attitude ni kitu muhim ktk maisha

Wakati jamaa akiwa Gerezani, kaka ake Eddie akiwa mfanyakazi wa caltex, alikuwa akimiliki Lori lakusambaza mafuta, likiendeshwa na mdogo ake mwingine ceser

That's where it all started, so acheni urafiki na msivyovijua
 
Back
Top Bottom