Kifaurongo
JF-Expert Member
- Jan 18, 2010
- 4,221
- 2,359
Na kumbuka 2009 mmoja wa hawa watuhumiwa alitoa mfululizo wa makala ya mwenendo mzima wa kesi ya uhaini ktk Gazeti la Mtanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maisha yalikua magumu sana nadhani enzi hizo..kwani hilo halikua jaribio la kwanza la kumtoa madarakani nyerere.Hujui unachokisema. Jaribu kuuliza historia sahihi ya akina Poppe. Ni huruma ya Nyerere ndiyo iliyowafikisha Jeshini lakini yeye kulipa kwake fadhila alitaka kumpindua. Kwa kukusaidia tu uliza walimu waliomfundisha Chuo cha Maafisa wa JWTZ, utapata at least what kind of a guy he is!
Na kumbuka 2009 mmoja wa hawa watuhumiwa alitoa mfululizo wa makala ya mwenendo mzima wa kesi ya uhaini ktk Gazeti la Mtanzania
Hujui unachokisema. Jaribu kuuliza historia sahihi ya akina Poppe. Ni huruma ya Nyerere ndiyo iliyowafikisha Jeshini lakini yeye kulipa kwake fadhila alitaka kumpindua. Kwa kukusaidia tu uliza walimu waliomfundisha Chuo cha Maafisa wa JWTZ, utapata at least what kind of a guy he is!
Ilikuwa Gazeti la Tanzania Daima.Kwakuwa jamaa alikuwa anaongea vitu Indeep sana! Wakubwa wakapiga marufuku zile Makala ila wengine tulikuwa tunajifunza kwenye zile MAKALA!
Mkuu wengine 2natamani kuijua hiyo Historia natunategemea JF kwakua kuna watu mnaofahamu cvibaya ukaweka kile unachokifahamu Tuendelee kujifunza!
Hujui unachokisema. Jaribu kuuliza historia sahihi ya akina Poppe. Ni huruma ya Nyerere ndiyo iliyowafikisha Jeshini lakini yeye kulipa kwake fadhila alitaka kumpindua. Kwa kukusaidia tu uliza walimu waliomfundisha Chuo cha Maafisa wa JWTZ, utapata at least what kind of a guy he is!
Why not wakati wafanya Biashara wenyewe ndio hao mawaziri?
Umesahahau ya Maige na kununua nyumba ya 500Mil kusingizia Biashara ya Malori ?
By the way hawa wakina Hans ni Proxy tu wenyewe ni Viongozi serekalini.
Hivi mnaposema wenzake mnamaanisha nini haswa???!!!!ninachojiuliza kila siku huyu jamaa alianzaje hadi leo hii ni tajiri wakati wenzake hali mbaya???
Yupo Simba na Rage
Jamaa amekaa gerezani miaka 12 lakin Kuna watu walikuwa huru kwa miaka hyo still jamaa katoka na kuwapita kiuchum .....hii inanifanya nizid kuamini attitude ni kitu muhim ktk maisha