Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Jaribio la kutaka kuiangusha serikali ya Nyerere 1982/1983

Eugene Maganga alitoa simulizi hiyo katika gazeti la Rai, bila shaka ilikuwa miaka ya Tisini au mwanzoni mwa miaka ya 2000. Binafsi nimeshajaribu sana kuitafuta softcopy ya simulizi ile ila sijafanikiwa. Eugene Maganga alikuwa na mpango wa kutoa kitabu cha stori hiyo ila mauti yalimkuta akiwa bado hajatimiza nia yake. Labda akina Jenerali Ulimwengu wanaweza kuipata hiyo stori kwenye archive zao!

Kwa yeyote mwenye hiyo kitu atupie hapa watu Tuendelee kuelimika!
 
.....Kama zinavyosema sheria za nchi, mtu aliyehukumiwa kifungo, hana haki ya kugombea wadhifa wowote au kuajiriwa tena, Zacharia naye hakuweza kurejea kazini, badala yake akaamua kujiajiri, kwa kuanzisha miradi yake mwenyewe, ambayo leo ikiwa ni miaka 17 baadaye, miradi hiyo imesimama imara........

Huwa nikisoma/nikisikia mpango huo wa kutaka kuipindua Serikali ya Nyerere mwaka 1983 mwili huwa UNANISISIMUKA, sijui ni kwanini, I'm clueless.

Tatizo la Watanzania huwa hatuwezi ku-document mambo wether mazuri au mabaya ili KWANZA kuweka kumbukumbu na PILI ili tuweze kujifunza kutokana na matukio hayo.

Waadishi wa habari wengi wa Tanzania wamezoea kuandika LIGHT TOUCH NEWS au kutafasiri maandishi ya watu wengine kwa lugha ya kiswahili.

Hivi kweli hakuna hata mwandishi mmoja wa Tanzania anayeweza kuandika kitabu kuhusu kisa hiki cha akina Hans Pope?! Maggid Mjengwa & Co. What are you doing?. Nakumbuka Maggid Mjengwa aliwahi kuandika simulizi ya Mwamwidi(?) jinsi alivyomua Dr. Kreluu (?) RC wa Iringa wakati huo katika gazeti ya RAIA MWEMA. Tulipo mu-challenge Maggid andika kitabu kuhusu hicho kisa cha kusisimua akaingia mitini. Haya ndiyo mambo yanayosababisha baadaye historia kupotoshwa kama sasa hivi tunavyoshuhidia ulimwengu ukipotoshwa kwamba kiongozi wa mapinduzi ya Zanzibar alikuwa Amani Karume. Kumbe hata siku ya mapinduzi hakuwepo huko Unguja.

Mkuu hapo nilipo bold kwenye RED. Katika kundi hilo la waliotaka kumpundua Nyerere alikuwemo pia Balozi Ngaiza. Sasa hivi ni Marehemu. Huyu ana Hotel yake Muleba inaitwa KAMACHUMU INN. Kwa standard za Muleba na Kagera naye alikuwa a successfull business man.

Mwaka 2000 aligombea ubunge wa Muleba Kusini (?) kupitia CCM akaongoza kwenye kura za maoni. Lakini akaja kuenguliwa na NEC ya CCM kwa shinikizo la akina Kingunge Ngombale Mwilu kwamba mtu aliyetaka kupindua serikali ya Nyerere hawezi kugombea uongozi kwa tiketi ya CCM.

Balozi Ngaizi akahamia CUF na kugombea kwenye uchaguzi mkuu dhidi ya Lucy Msafiri wa CCM. Balozi Ngaiza akashindwa kwa kura chache (ingawa kulikuwa na tetesi kwamba NEC walichakachua matokeo).

Baadaye Balozi Ngaiai akahamia CDM baada ya CUF kukosa mvuto. Nakumbuka mwaka 2010 alikuwa anajiandaa kugombea ubunge kwa tiketi ya CDM. Lakini kabla ya kutimiza hiyo ndoto yake mauti ikamfika. Nakumbuka M/kiti wa CDM Freeman Mbowe alihudhuria mazishi yake huko Kamachumu Muleba.

Kama uliyoandika hapo juu ni kweli kwamba sheria za nchi haziruhusu mtu aliyepatika na kosa na kufungwa jela, ilikuwaje basi Balozi Ngaiza akagombea ubunge kwa tiketi ya CCM kwenye kura za maoni na baadaye kwenye uchaguzi mkuu kwa tiketi ya CUF?!

For those who have short memory, Ismail Aden Rage alishawahi kupatikana na kosa mbele ya mahakama na akafungwa jela. Je, imekuwaje Ismail Aden Rage amegombea ubunge na sasa ni Mbunge wa Tabora mjini?.

Naomba tu wanasheria/wana JF wanaofahamu sheria wanijibu haya maswali yangu.
 
Bobuk Balozi Ngaiza,Zera Banyikwa na mumewe mahakama iliwaachia huru na Aden Rage alikata rufaa mahakama kuu ilimsafisha na tuhuma japo aliishatoka gerezani akawa mtu huru ndio maana wakapata wasaa wa kugombea.
 
Last edited by a moderator:
Bobuk Sio lazima wanasheria,Rage alifungwa na alivyotoka alikata rufaa,akashinda kwa hiyo ikamfutia hatia-ndio akaja kutuharibia timu yetu na pia kudunisha maendeleo ya huko Tabora!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Ni kiongozi wa Malori ya akina Lowassa,
mm sifa nyingine huwa nashindwa kuzimeza
Yaani kuua Shirika la Reli ili mpate Biashara ya kupeleka mizigo Rwanda nayo ni sifa kweli?
Je Mwakyembe anapowakaribisha Wachina waifufue na kuua biashara ya malori si mtamlaani
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/586769-high-speed-train-in-tz-wachina-watajenga.html

Wape ukweli mkuu. Huyu anaweza kuwa kiranja tu wa wenye malori. Ndio hao wanaua reli zetu ili wafanye biashara zao haramu. Ni malori hayo hayo yanasafirisha meno ya tembo wetu na bado tunawachekea tu.
Kwenye mpira hawezi kugombea anabaki kupitia mlango wa nyuma. Ifike mahali hata kamati za Yanga na Simba ziongozwe na wenye sifa ya kugombea
Hii biashara ya malori ndio mauti yetu Tanzania
 
Eugene Maganga. Wengine
Deutrich Mbogora. Kanali Ngalomba. Uncle Tom.
Balozi Ngaiza. Zera Banyikwa . Kapt Tamimu.
Hans pope alikuwa na kaka yake.

wengine tena: Kajaja, Kadego, Chahika.
 
mdukuzi Hujui unachokisema. Jaribu kuuliza historia sahihi ya akina Poppe. Ni huruma ya Nyerere ndiyo iliyowafikisha Jeshini lakini yeye kulipa kwake fadhila alitaka kumpindua. Kwa kukusaidia tu uliza walimu waliomfundisha Chuo cha Maafisa wa JWTZ, utapata at least what kind of a guy he is!

Mkuu kwanini usiweke mambo hadharani tukajua moja?
 
Bobuk Balozi Ngaiza,Zera Banyikwa na mumewe mahakama iliwaachia huru na Aden Rage alikata rufaa mahakama kuu ilimsafisha na tuhuma japo aliishatoka gerezani akawa mtu huru ndio maana wakapata wasaa wa kugombea.

Wakuu Limbongambonga & Mdau: Ahsante kwa ufafanunzi, this a healthier JF I used to know kabla haijaingiliwa na political zealots. Ninashukuru kwa kunielimisha.
 
Jamaa ana majibu ya siple n clear watangazaji wengi sana hushindwa hata kumuuliza maswali matatu au manne maana yupo very smart katika kujibu, nadhani na jeuri ya pesa inachangia. ila hapo katika ushujaa wa kumpindua rais asiyekuwa na matatizo kwa raia nadhani mleta maada umepotoka kidogo.
 
Hivi mnaposema wenzake mnamaanisha nini haswa???!!!!
sijakuelewa OLESAIDIMU yaani huielewi MADA au uhuwaelewe waliotaka kuipindua Nchi 1982 juzi tu ( kina Tamim, Eugen Maganga, HansPope na ndugu yake, akakkutana na kina Marando na Ndejembi) basi kiumri bado mdogo
Haya mara upo
Hivi kifo cha reli unawalaumu wafanyabiashara mkuu???!!!!
Jibu ni hilo hapo
Wape ukweli mkuu. Huyu anaweza kuwa kiranja tu wa wenye malori. Ndio hao wanaua reli zetu ili wafanye biashara zao haramu. Ni malori hayo hayo yanasafirisha meno ya tembo wetu na bado tunawachekea tu.
Kwenye mpira hawezi kugombea anabaki kupitia mlango wa nyuma. Ifike mahali hata kamati za Yanga na Simba ziongozwe na wenye sifa ya kugombea
Hii biashara ya malori ndio mauti yetu Tanzania
Kama hujaridhika ungekaa Barabara kuu kati ya Dar Moro, Dodoma, Singida Nzega Rwanda/ Burundi
au Iringa Tunduma Zaire (Lubumbashi) Zambia, Afrika Kusini nk uone idadi ya amlori
  • Tank za mafuta tu ni zaidi ya 54 za mtu mmoja hapo si zadi ya Kampuni 3 tu za watu binafsi
  • Container zaidi ya 100 zinapishana za mtu mmoja
Hatupo JF kuwaonea Wivu Watanzania lakini muulize Mizengo Pinda ni vp alikubaliana na huyu Hans Pope na mtoto Lukumay kuuondoa ushuru wa Magufuli kwenye Mizani
leo waambie Mwakyembe kaleta Trani ya mchina HIGH SPEED TRAIN IN TZ, wachina watajenga! malori waweke nyumbanii. km hawakukutukana (au na wewe umo humo??)
 
Last edited by a moderator:
sijakuelewa OLESAIDIMU yaani huielewi MADA au uhuwaelewe waliotaka kuipindua Nchi 1982 juzi tu ( kina Tamim, Eugen Maganga, HansPope na ndugu yake, akakkutana na kina Marando na Ndejembi) basi kiumri bado mdogo
Haya mara upo
Jibu ni hilo hapo

Kama hujaridhika ungekaa Barabara kuu kati ya Dar Moro, Dodoma, Singida Nzega Rwanda/ Burundi
au Iringa Tunduma Zaire (Lubumbashi) Zambia, Afrika Kusini nk uone idadi ya amlori
  • Tank za mafuta tu ni zaidi ya 54 za mtu mmoja hapo si zadi ya Kampuni 3 tu za watu binafsi
  • Container zaidi ya 100 zinapishana za mtu mmoja
Hatupo JF kuwaonea Wivu Watanzania lakini muulize Mizengo Pinda ni vp alikubaliana na huyu Hans Pope na mtoto Lukumay kuuondoa ushuru wa Magufuli kwenye Mizani
leo waambie Mwakyembe kaleta Trani ya mchina HIGH SPEED TRAIN IN TZ, wachina watajenga! malori waweke nyumbanii. km hawakukutukana (au na wewe umo humo??)

Nasema tena kama hamtokomalia serikali wafanyabiashara wataendelea tu kutumia fursa!!!!!!

Private secondary schools ni same trend na hospitals na vyuo sasa vimeshamiri!!!!! Huku sijui nani alaumiwe pia,usafiri wa majini nao Dar to Zenj???!!!

Serikali inataka PPP nyie mnasema private inaua public hii si kweli ila kuna watu hawafanyi wajibu wao na nyie mnakubali lawama za jumla kuwa private inaua kweli hii ndio thinking???!!!

Kwa style hii the so called "Government" will never know exactly what pinches us!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hivi mzazi wake mmoja ni Mtanzania mwenye asili ya ulaya eenh? Maana hilo jina lake na muonekano wake kama point 5 hivi (Chotara).
 
hivi nyerere amekoswakoswa mara ngapi kupinduliwa? maana hizi habari zimekuwa nyingi kupitiliza. Au ndo kisa cha kuachia kiti cha urais nini? inayojulikana zaidi ni ile ya 1964/5 ambapo jesh liliasi. ila cha kusikitisha haionekani popote kwenye maandishi kwa maana ingine historia ya nchi ndo inapotea hivyo.

[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Hans Poppe[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Zacharia Hans Poppe, ambaye alizaliwa mwaka 1956 mjini Dar es Salaam na kukulia mkoani Iringa.

Baada ya kumaliza elimu ya sekondari, Zacharia alijiunga na Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) ambako alifikia cheo cha Kapteni, kabla ya kuachishwa kazi na kuhukumiwa kifungo cha maisha jela, kwa tuhuma za uhaini, dhidi ya serikali ya awamu ya kwanza, ya hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mwaka 1983.

Lakini mwaka 1995, Zacharia aliachiwa huru kwa msamaha wa rais wa awamu ya pili, Alhaj Ally Hassan Mwinyi, mwezi mmoja kabla hajamuachia Ikulu ya Tanzania, Benjamin William Mkapa, rais wa awamu ya tatu.

Kama zinavyosema sheria za nchi, mtu aliyehukumiwa kifungo, hana haki ya kugombea wadhifa wowote au kuajiriwa tena, Zacharia naye hakuweza kurejea kazini, badala yake akaamua kujiajiri, kwa kuanzisha miradi yake mwenyewe, ambayo leo ikiwa ni miaka 17 baadaye, miradi hiyo imesimama imara.

Kwangu mimi namuona shujaa si kwasababu ya kutaka kumpindua nyerere bali pamoja na kupotezewa muda mwingi akiwa gerezani lakini ameibuka na kuwa mmoja wa matajiri na mfanya biashara mkubwa nchini,ikumbukwe baba yake mzazi aliuwa na iddi amini kipindi kile cha vita ya kagera
.
 
Hakujua alitendalo, kwani alitaka kumpindua mzalendo aliye ipenda nchi na watu wake. Angepindua hawa mafisadi na mawakala wa mabeberu ndiyo angeonekana shujaa wa kweli kama John Okelo!
 
Back
Top Bottom