Jaribu fanya haya ukipoteza breki kwenye gari yako likiwa kwenye mwendo

Jaribu fanya haya ukipoteza breki kwenye gari yako likiwa kwenye mwendo

Yamakagashi, scenario ya bus ni tofauti aseh, hata hivyo kaua wachache kuliko angedondosha bus zima!.
 
mambo ya hand brake na kudrift sio!..🙂

It was more than that Mkuu,

Kuna vijana walibuni kumwaga mafuta ya break katika magari halafu kushindana racing bila break
Ni hatari sana lakini msisimko wa tofauti kabisa kama huna uoga.

Unapiga gear kama kichaa.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
It was more than that Mkuu
Kuna vijana walibuni kumwaga mafuta ya break katika magari halafu kushindana racing bila break
Ni hatari sana lakini msisimko wa tofauti kabisa kama huna uoga
Unapiga gear kama kichaa

Sent from my iPhone using Tapatalk
kwamba unatembea na gari bila mafuta ya breki!, ilikuwa kwenye lami au vumbi!!
huu mchezo bado hujanichezesha!.
 
Wengi wetu tunafariki ni kwa sababu ya speed kubwa ya gari. Mara nyingi nikiwa natoka mbeya to dsm, speed kubwa kwangu ni 120km/h

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kwamba unatembea na gari bila mafuta ya breki!, ilikuwa kwenye lami au vumbi!!
huu mchezo bado hujanichezesha!.

Ilikuwa tunaanza kwenye lami halafu tunamalizia kwenye desert [emoji248]
Sijawahi kuogopa na sijui woga ukoje
Ila kuna mambo mengine ni magumu kuyafanya kama unaogopa au kuogopea maisha yako
Siku hizi nimezeeka huwa naenda kuangalia tu mashindano [emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Wale wazee wa kuweka neutral kwenye miteremko waache ni hatari sana endapo breki zitafeli. Huo ubahili wa kubana mafuta utawa cost.
 
It was more than that Mkuu
Kuna vijana walibuni kumwaga mafuta ya break katika magari halafu kushindana racing bila break
Ni hatari sana lakini msisimko wa tofauti kabisa kama huna uoga
Unapiga gear kama kichaa

Sent from my iPhone using Tapatalk
Hii ya kumwaga mafuta ni hatari. Mimi na jamaa yangu tuliwahi kushindana kutotumia kabisa breki kwenye safari ndefu.

Mimi breki kwenye gari ya manual nikiwa safari ndefu sipendi kutumia napenda sana Change Down ya Gear kuwa kama kipunguza mwendo.

Nilikuwa napiga change down kwenye Isuzu Kb mpaka nikipita maeneo ya stendi au sokoni raia wanashangilia kwa kupiga miluzi.
 
Kabisa Mkuu
Mimi break naweza kukaa miaka bila kubadili shoe brakes kwa sababu natumia gear tu na break ni kunusa tu

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Ilikuwa tunaanza kwenye lami halafu tunamalizia kwenye desert [emoji248]
Sijawahi kuogopa na sijui woga ukoje
Ila kuna mambo mengine ni magumu kuyafanya kama unaogopa au kuogopea maisha yako
Siku hizi nimezeeka huwa naenda kuangalia tu mashindano [emoji23]

Sent from my iPhone using Tapatalk
Ile michezo ya waarabu jangwani napenda sana wanavyoifanya, mingine Formula One!.
 
Ile michezo ya waarabu jangwani napenda sana wanavyoifanya, mingine Formula One!.

Nimekaa huko miaka 10. Nakumbuka magari niliyokuwa naendesha. Ya kwanza ilikuwa Skyline GT then same model nikauza nikachukua Mustang.

All in all nilibadili kama gari 8. Ila moja ambayo nilikuwa naiheshimu ilikuwa Dodge Charger ya 1978 V8
Na Mazda RX7 wakati huo ilikuwa inaongoza kwa hatua ya kwanza yaani gear ya kwanza mpaka ya tatu hakuna gari inayoigusa ingawa utamkamata baadae kama una mashine nzito.

Benz 450 nayo nilinunua baada ya jamaa kunipita kama nimesimama nikasema that’s my next car [emoji23][emoji23].

Kama vifo huko wanaongoza kwa ajali na maiti unaokota vipande vipande tu na gari inakuwa kama imetafunwa.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
black sniper,
Mkuu Ford Mustang au Mercedes Benz Wd124 maarufu kama Master Piece yenye V12 engine toleo la zamani umewahi kutumia kwenye mbio.

Maana kuna waarabu nimeona wakitumia iyo Benz mzee kuchezea jangwani.
 
Mkuu Ford Mustang au Mercedes Benz Wd124 maarufu kama Master Piece yenye V12 engine toleo la zamani umewahi kutumia kwenye mbio.

Maana kuna waarabu nimeona wakitumia iyo Benz mzee kuchezea jangwani.

Haswa hiyo hiyo
Hakuna mashine kama hiyo mkuu
Uzuri fuel ilikuwa rahisi sana na ujana unaona sawa tu
Kumbukumbu zangu hizo

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom