Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wa basi angeweka gari kwenye low gear yaani gear namba 1 ingemsaidia sana, then ingepunguza mwendo na angezima gari ikiwa kwenye gear(kumbuka gari ni manual) so angeliweza kulimuda na kulisimamisha kwa urahisi gari lake.
Yaani unavyongea huna tofauti na kilazaHuyu wa basi angeweka gari kwenye low gear yaani gear namba 1 ingemsaidia sana, then ingepunguza mwendo na angezima gari ikiwa kwenye gear(kumbuka gari ni manual) so angeliweza kulimuda na kulisimamisha kwa urahisi gari lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Usije thubutu kuzima gari likiwa kwenye mwendo!..Huyu wa basi angeweka gari kwenye low gear yaani gear namba 1 ingemsaidia sana, then ingepunguza mwendo na angezima gari ikiwa kwenye gear(kumbuka gari ni manual) so angeliweza kulimuda na kulisimamisha kwa urahisi gari lake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hako kajamaa kakilaza sanaa!!Usije thubutu kuzima gari likiwa kwenye mwendo!..
Hii tunaita "Pistoni zinachomokea mbavuni"
Na inabidi kuwa makini kweli kweli haswa kwa gari za Auto. Ukipitiliza tu mpaka R
"Unaichota/unaikata mtama gari"
Kifuatacho ITV........RIP maturubai ma ubweche
Hii tunaita "Pistoni zinachomokea mbavuni"
Na inabidi kuwa makini kweli kweli haswa kwa gari za Auto. Ukipitiliza tu mpaka R
"Unaichota/unaikata mtama gari"
Kifuatacho ITV........RIP maturubai ma ubweche
Gari labda made ni tz...gari za kisasa haziruhusu hilo tendo kama gari inaenda mbele rivaz haikubali
Unajua magari yooote wewe sio??
Hadi ukajua yaliyotengenezwa Tz ndo hayakubali tendo?
Unaandika halafu unajidai hujibuSikujibu
Balaa zitoubweche
Kwa kitonga ni ku-downshift mpaka gear namba 1, au kama ni automatic weka kwenye L halafu usiishie hapo, endelea na jitihada zingine.Tatizo brake huwa zinazingua eneo ambalo haya yote yanakua hayana msaada.
Imagine zinazingua kitonga.
Sent using Jamii Forums mobile app