Jaribu fanya haya ukipoteza breki kwenye gari yako likiwa kwenye mwendo

Hivyo vyote akili mda huo inakuwa imehama.
Na kwa msaada mwingine ile mitaro mle pembezoni mwa barabara inasaidiaga sana
 
Hivyo vyote akili mda huo inakuwa imehama.
Na kwa msaada mwingine ile mitaro mle pembezoni mwa barabara inasaidiaga sana
Usipokuwa mtu wa Kupanic hakuna linaloshindikana!..
 
Yaani unavyongea huna tofauti na kilaza
Hivyo mlivyokaririshwa huko driving school huku mkiendesha vitz sio sawa na uhalisia huku barabarani!!

Kwamba huyo dereva mwenye c kavu ambae ana uzoefu wa kuendesha basi kwa zaidi ya miaka mitano pamoja na ufundi au kwenye malori,yeye hakuyajua hayo? Kwanini sasa asingefanya kama ndio hivo na kama ni rahisi hivo kama ulivoandika
 
Usije thubutu kuzima gari likiwa kwenye mwendo!..
 
Hii tunaita "Pistoni zinachomokea mbavuni"

Na inabidi kuwa makini kweli kweli haswa kwa gari za Auto. Ukipitiliza tu mpaka R

"Unaichota/unaikata mtama gari"
Kifuatacho ITV........RIP maturubai ma ubweche

Gari labda made ni tz...gari za kisasa haziruhusu hilo tendo kama gari inaenda mbele rivaz haikubali
 
Unajua magari yooote wewe sio??

Hadi ukajua yaliyotengenezwa Tz ndo hayakubali tendo?
 
MIMI NIWE NA SWALI HAPA HAPA, NI KWAMBA UNAPOKUWA SAFARINI UKAWASHA TAA ZA GARI NA A/C KWA PAMOJA INAPUNGUZA PERFORMANCE YA GARI?(SPEED) IKIWA GARI HAINA TATIZO LOLOTE?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…