Jugado JF-Expert Member Joined Oct 28, 2021 Posts 1,446 Reaction score 3,184 Aug 14, 2023 Thread starter #41 Rhz4567 said: Duh 60,000 per year bado mm siyo milionea aisee. Na sav kiasi kdg sana cha dalla. Click to expand... Sio 60,000 per year jombaa ni 5,000 per year!
Rhz4567 said: Duh 60,000 per year bado mm siyo milionea aisee. Na sav kiasi kdg sana cha dalla. Click to expand... Sio 60,000 per year jombaa ni 5,000 per year!
Extra miles JF-Expert Member Joined Apr 18, 2018 Posts 3,652 Reaction score 4,972 Aug 14, 2023 #42 Jugador_2023 said: Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500! Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana.... Uchumi wetu bado sana Click to expand... Hakuna haja ya kwenda huko, kuna remote jobs au freelancing siku hizi
Jugador_2023 said: Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500! Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana.... Uchumi wetu bado sana Click to expand... Hakuna haja ya kwenda huko, kuna remote jobs au freelancing siku hizi
Smart Gang JF-Expert Member Joined Nov 16, 2022 Posts 2,013 Reaction score 3,406 Aug 14, 2023 #43 Mi mvuvi napata $52000+ per year.
G GeofK JF-Expert Member Joined Jul 3, 2021 Posts 965 Reaction score 1,217 Aug 14, 2023 #44 Jugador_2023 said: Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500! Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana.... Uchumi wetu bado sana Click to expand... Mmmm, eti ni nna $4000, kwa mwaka, na ndio mwenye mshahara mkubwa hapa kazini.
Jugador_2023 said: Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500! Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana.... Uchumi wetu bado sana Click to expand... Mmmm, eti ni nna $4000, kwa mwaka, na ndio mwenye mshahara mkubwa hapa kazini.