Jaribu ku- convent mshahara/kipato chako kwenda USD Kwa mwaka una USD ngapi?

Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500!

Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana....

Uchumi wetu bado sana
Hakuna haja ya kwenda huko, kuna remote jobs au freelancing siku hizi
 
Leo katika harakati nikataka kujua take home yangu ya mwaka in USD ni ngapi aise ni aibu! Yaani mwaka mzima napata chini ya USD 6,500!

Ukiona mwanao ana kipaji mpeleke huko haraka sana....

Uchumi wetu bado sana
Mmmm, eti ni nna $4000, kwa mwaka, na ndio mwenye mshahara mkubwa hapa kazini.
 
Back
Top Bottom