Jaribu kupata mtoto

Uzazi ni gharama.. mimba zenyewe zinabagua vyakula, hazitaki wali dagaa 🤣

Hapo mtoto hajaja..
Hakuna mimba inayobagua chakula ni hisia zenu tu wanawake na hapo ndipo mnapitia sijui mimba haitaki nini hamna kitu cha namna hiyo ni tamaa zenu tu
 
Angalia avatar mamaa 90% ni ukweli,mtoto atafata Kwa mama scientifically proved🤣🤣🤣
Ata Mimi mbaya vile vile 😂avatar inadanganya...


Kwahio hapa kwenye avatar baba atakuwa na shingo kama la twiga😹
 
Ushauri wa namna hii ndio unaongeza idadi ya single mothers mtaani. Halafu baadaye wanailaumu serikali ya CCM kwa ujinga wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…