Jaribu kupata mtoto

Sawa Hamza
Mtoto au watoto hawakuzui wewe kuwa tajiri bali kipato chako.
Kuna watu wametajirika wakiwa na watoto wa 4.
Jiulize, una miaka mingapi unatafuta pesa? Tangu umetafuta pesa bila mtoto umefikisha hata milion 20 bank? Hapo utashangaa kuna mtu ana mke, anasomesha watoto 3 English medium na gari amenunua lkn wewe upo single tangu umeanza kutafuta pesa hauna hata gari kwanza unalia maisha magumu
 
Hakuna kitu Kama hiki Mkuu Mkuu

Success is about hard work smart + GOD and not children.

Ni vizuri Ukapata mtoto ukiwa umeiandaa akili yako vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…