Jaribu kupata mtoto

Jaribu kupata mtoto

Nadhani unatania kumbe upo serious kabisa.

Sasa ikiwa kwako ulipata mtoto papo hapo mambo yakawa vizuri mshukuru Mungu alafu unyamaze...
Mwanangu wa kwanza alikuja na misukosuko mikali karibia ningekufa mimi kwaajili yake na mamaake.
Wa pili alikuwa hali ya kawaida tu kama hamna kilichotokea.
Wa tatu nae ilikuwa kawaida
Unaona wengine walikuja na baraka
 
Mtoto akishazaliwa mnakula wote msoto. Akikua kidogo na kupata ufahamu anaanza kukulaani kwa kumleta katika hii dunia yenye tabu na mateso. Nawe pia unajisikia vibaya kuambiwa hivyo na mwanao, Unapata msongo wa mawazo unaopelekea kupata presha. Unapata kiharusi afu mwishowe unakufa.

Mwanao anae anaingia JF anakuta uzi kama huu. Anafata ushauri. Kinamramba. Mjukuu pia hivihivi.

Mwishowe Watanzania wote tunakufa kwa kuzaa bila kujipanga kisa mtu tumefata ushauri wa mleta uzi.😁😁
 
Koh koh koh
1000018341.gif
 
Hyo mwingine akileta mateso pata mwingien na mwingine na mwingine
 
Back
Top Bottom