DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mtoto au watoto hawakuzui wewe kuwa tajiri bali kipato chako.
Kuna watu wametajirika wakiwa na watoto wa 4.
Jiulize, una miaka mingapi unatafuta pesa? Tangu umetafuta pesa bila mtoto umefikisha hata milion 20 bank? Hapo utashangaa kuna mtu ana mke, anasomesha watoto 3 English medium na gari amenunua lkn wewe upo single tangu umeanza kutafuta pesa hauna hata gari kwanza unalia maisha magumu
Hii ndiyo shida ya watu wenye akili za kimasikini.Fungasha urudi kijijini Bestinaso
Kenya Development Budget of sh 4,791,772,950,556.28Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...
Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......
Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...
Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
"Fungusha urudi kijijini Bestinaso"Hii ndiyo shida ya watu wenye akili za kimasikini.
Huko kijijini ndiyo wapi? Kuna watu wamezaliwa mjini hata kijijini hawapajui na wala hawajui lugha za kikabila zaidi ya Kiswahili, kiingereza na lugha zingine za dunia ya kwanza. Na wamezaliwa hapa hapa Tanzania
Umewahi kusikia kisa cha yule jamaa aliyewangulia kesi wazazi wake kwa shauri la kumzaa bila ridhaa yake huku wakijua hawana uhakika wa kumtunza?Hyo mwingine akileta mateso pata mwingien na mwingine na mwingine
Hizo baraka anazitaka wengine kupata watoto wasahau - inatakiwa iwe na laanaKama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...
Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......
Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...
Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Hisia ni zako wala siyo za mimba msituchoshe na hisia zenu tu harafu mnasingizia mimbaUshawahi kubeba mimba ukakutana na hizo hisia??
Sitaki usumbufu kurudia rudia🤣Leo.
Ushaur Kwa vijana wanaotafuta ajira etyy maana ndyo tunaogoza kuingiza JF Kila muda kama tuna free wi-fiKama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...
Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......
Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...
Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Umeandika nini sasa?Ushaur Kwa vijana wanaotafuta ajira etyy maana ndyo tunaogoza kuingiza JF Kila muda kama tuna free wi-fi
We are the GenZUmewahi kusikia kisa cha yule jamaa aliyewangulia kesi wazazi wake kwa shauri la kumzaa bila ridhaa yake huku wakijua hawana uhakika wa kumtunza?
Chonde chonde mkuu, we ukija kufunguliwa kesi hapa bongo, nina uhakika utahukumiwa kunyongwa hadi kufa. Mitoto ya siku hizi haijali wazazi wao zaidi ya Amapiano na Afobeats
Umeanza visingizio🤣Sitaki usumbufu kurudia rudia🤣
Unatisha watu wewe, Mimi ni shuhuda nilikua apeche alolo. Mwanangu alikuja na baraka mpya ndio nikamuoa na mama yake sasa na mengine mengi mengi.. na hivi punde tunatarajia baraka zingine 🤗Haha usiache kumwambia huyo baba amwage njeee shost,, akizaliwa cha bei nafuu ni maziwa ya mama pekee, napo mama anatakiwa ale ashibe. Na sio kula michicha na ugali 🤣🤣
HakikaNaona unashauri ongezeko la watoto wa mitaani
AiseeWe Kama unataka utelekezwe na mtoto jichanganye tu