DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mtoto au watoto hawakuzui wewe kuwa tajiri bali kipato chako.
Kuna watu wametajirika wakiwa na watoto wa 4.
Jiulize, una miaka mingapi unatafuta pesa? Tangu umetafuta pesa bila mtoto umefikisha hata milion 20 bank? Hapo utashangaa kuna mtu ana mke, anasomesha watoto 3 English medium na gari amenunua lkn wewe upo single tangu umeanza kutafuta pesa hauna hata gari kwanza unalia maisha magumu
Fungasha urudi kijijini Bestinaso