Jaribu kupata mtoto

Jaribu kupata mtoto

Kama una tatizo la kiuchumi kwa muda mrefu jaribu kupata mtoto...

Mtoto anakuja na sahani yake mambo Yako yanaweza kufunguka. .......

Wa kwanza asipoleta pandikiza mwingine ..jaribu kuleta mwingine na mwingine na mwingine...

Thank me later
Cc: Kijana masikini and 100 others
Mallerina
giphy.gif
 
Sawa Hamza
Mtoto au watoto hawakuzui wewe kuwa tajiri bali kipato chako.
Kuna watu wametajirika wakiwa na watoto wa 4.
Jiulize, una miaka mingapi unatafuta pesa? Tangu umetafuta pesa bila mtoto umefikisha hata milion 20 bank? Hapo utashangaa kuna mtu ana mke, anasomesha watoto 3 English medium na gari amenunua lkn wewe upo single tangu umeanza kutafuta pesa hauna hata gari kwanza unalia maisha magumu
 
Hakuna kitu Kama hiki Mkuu Mkuu

Success is about hard work smart + GOD and not children.

Ni vizuri Ukapata mtoto ukiwa umeiandaa akili yako vizuri.
 
Back
Top Bottom