PART ASIFIWE MALILA
Member
- Mar 21, 2024
- 36
- 73
Good evening
Leo ninapenda tuandike kuhusu fursa ya kilimo cha papai. Na,hapa nitagusia zaidi kilimo cha papai hybrid.
Katika kilimo cha papai kuna hatua za kuzingatia ili mtu aweze kupata matokeo ya msingi.
Hatua ya kwanza ni maandalizi ya shamba na maandalizi ya mbegu ( east west red royale f1).
Kwanza anza kwa kuchimba mashimo vizuri kwenye shamba lako.
Baada ya uchimbaji wa mashimo hakikisha una andaa miche. Kwanza unaweza kuweka kupitia viriba ambavyo kwanza utajaza udongo kwa ajili ya kusia mbegu.
Baada ya mwezi mmoja, hakikisha kwamba unaweka miche yako kwa mashimo. Hakikisha kuwa katika uwekaji wako wa mbolea bila kusahau mboji.
Katika kilimo hiki usisahau kutumia maji. Weka mfumo wa umwagiliaji kulingana na kipato chako.
Kilimo hiki huwa kinachukua miezi sita hadi nane. Kuanza kuvuna ni miezi sita hadi nane. Na huendelea hadi miaka miwili au mitatu kulingana na matunzo ya mkulima.
Kwa wastani mti mmoja wa mkulima huweza kumpa mtu hadi matunda 80- 100.
Asanteh kwa kusoma !!!