Jaribu la hayati Rais Magufuli na jaribu la Ayubu

Jaribu la hayati Rais Magufuli na jaribu la Ayubu

Magufuli alikayataliwa na Mungu mwenyewe kwa sababu alipopata madaraka kidogo akajifanya mungu-mtu.

Huwezi kuiba uchaguzi wa 2020 wote, unauwa wapinzani, unafukuza watu kazi, unaiba fedha za wafanya biashara halafu Mungu akakuacha.

Ile ni TAKA TAKA iache iendelee kuoza huko Chato

IMG_5951.jpg
 
JARIBU LA HAYATI RAIS MAGUFULI NA JARIBU LA AYUBU.

Leo 13:15hrs 04/02/2023

Jaribu la Hayati Rais John Pombe Magufuli linakuja kwenye kutajwa kwake mara kwa mara,penye hoja na pasipokuwa na hoja,lakini jaribu hili linakuja akiwa hayupo,pengine angetamani awe hai ili aweze kujibu hoja zake,

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publications;-
-Assessment on the effect of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Nimesoma na kurudia na kurudia tena kutafuta the connection ya Ayubu na JPM, sijaiona!. Aliyeelewa bandiko hili naomba anieleweshe.
P
 
Nimesoma na kurudia na kurudia tena kutafuta the connection ya Ayubu na JPM, sijaiona!. Aliyeelewa bandiko hili naomba anieleweshe.
P
Nadhani amemaanisha kuwa MAGUFULI na AYUBU wote walipewa majaribu,ila mmoja amepewa akiwa anao uwezo wa kujitetea na(Ayubu) na mwingine amepewa haliyakuwa hana uwezo wa kujitetea(Magufuli).
 
Magufuli alikayataliwa na Mungu mwenyewe kwa sababu alipopata madaraka kidogo akajifanya mungu-mtu.

Huwezi kuiba uchaguzi wa 2020 wote, unauwa wapinzani, unafukuza watu kazi, unaiba fedha za wafanya biashara halafu Mungu akakuacha.

Ile ni TAKA TAKA iache iendelee kuoza huko Chato
Kama una mke na watoto,basi wamepata khasara isiyomithilika
 
Watu awa waliokimbia zaidi ya kilomita kumpa heshima ya mwisho Rais Magufuli,kama hawakuwa binadamu basi walikuwa ni Malaika waliotumwa na Mungu na ipo siku watu hao au Malaika hao watakuja tena kumtetea Hayati Rais Magufuli.
Wanasiasa wajifunze ni kwa kiasi gani wananchi waliumizwa mpendwa wao kuhujumiwa uhai wake
 
Nimesoma na kurudia na kurudia tena kutafuta the connection ya Ayubu na JPM, sijaiona!. Aliyeelewa bandiko hili naomba anieleweshe.
P

Connection ipo mkuu P, ingawa inaweza isiwe ile anayotaka tuione mleta mada.

Kushushwa na kupandishwa yote ni majaribu.

Ayubu alishushwa, akakubali kuwa chini. Huyu mwingine alipandishwa, akataka kuwa juu zaidi.

Kila mtu ana hitimisho lake kuhusu hatima ya huyu wa pili lakini hatima ya Ayubu iko wazi kabisa.

“Mungu amenitupa kwenye matope nami nami nimegeuzwa kuwa mavumbi na majivu”(Ayubu 30: 19).

“Nilikuwa nakusikia tu lakini leo nimeuona uso wako. Nami naichukia nafsi yangu na naungama katika mavumbi na majivu”(Ayubu 42:6).

Huyo ndio Ayubu.

Mpole mpaka mwisho.

Twaweza kubeti kuwa aliendelea hivyo hata baada ya kurudishiwa afya yake na mali zake.

Tusiwalilie wala kuwalaumu waliotangulia mbele za haki bali tujifunze kutoka kwenye maisha yao na tujirekebishe.

Tunao uchaguzi juu ya hatima ya maisha yetu hata kama ni kile tu ambacho wengine watasema tukiwa tumesha lala usingizi wa mauti.

Timshel!
 
Tumuache hayati alale salama,
Aliaga kabla hajafa.
Inawezekana hata yeye alituchoka.
Eloi eloi mungu nakuja kwako
 
Magufuli was a country bumpkin.

If you think otherwise, you are probably one too.

I wouldn’t know much about that sir.

He could have been that and more but he still made his way to the top of Tanzanian politics.

But as always, I defer to your views.
 
I wouldn’t know much about that sir.

He could have been that and more but he still made his way to the top of Tanzanian politics.

But as always, I defer to your views.

Once someone throws basic principles away, given the right connections, some ground level Machiavellian manipulation, and luck of course, it doesn't take much to make it to the top of Tanzanian politics.

The people are not critical, most of the so called intellectuals are hardly fully literate or, oftentimes, even logically consistent, let alone numerate.

The Tanzanian political ascent is more of the Roman "cursus honorum" (by which qualification for a higher office is less of what you have done, and more of what office have you held before) than anything merit based, the vetting is practically non existent, the elections are easily fixed.

A lot that is due to the luck of the draw and basic posturing is ascribed to ability and intelligence.

Magufuli is proof of that. His ascent to the very top does not prove his intelligence. It proves how broken our system is.

In a system where only the ruthlessly power hungry and irredeemably morally compromised get to the top, getting to the top is hardly a distinction in any other way.
 
Once someone throws basic principles away, given the right connections, some ground level Machiavellian manipulation, and luck of course, it doesn't take much to make it to the top of Tanzanian politics.

The people are not critical, even the so called intellectuals are hardly fully literate, let alone numerate, the political ascent is not merit based, the vetting is practically non existent, the elections are easily fixed.

A lot that is due to the luck of the draw and basic posturing is ascribed to ability and intelligence.

Magufuli is proof of that. His ascent to the very top does not prove his intelligence. It proves how broken our system is.

In a system where only the ruthlessly power hungry and irredeemably morally compromised get to the top, getting to the top is hardly a distinction in any other way.

I absolutely concur with you here.

In addition many would be more able and efficient leaders for the country are wise to the guillibility of its people and have accordingly kept away from politics. Sort of Atlas shrugged.

Can’t help wandering what kind of ending this soap opera being enacted in Tanzania is going to be.

Sometimes I feel like weeping for the country of my origins. At others, I just feel like like joining the shruggers, telling myself that life is too short.

But thank you for your enlightening comments mkuu Kiranga. Wish you a goodnight rest and please come more often to good old jamii forum
 
.Magufuli is proof of that. His ascent to the very top does not prove his intelligence. It proves how broken our system is.
Magufuli hakujichagua kugombea alichaguliwa bila yeye kujua kwa sababu fulani very specific Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli kwa vile aliupata urais kwa hiyo sababu, baada ya kuupata hiyo sababu haikuendelea kuwepo, hivyo alipaswa kuishia 2020!.

Sisi wa kushauri humu, tulishauri Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!”
Wanabodi,
Leo asubuhi nimeangalia kipindi cha mahojiano ya Makamo wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumzia Siku ya Wanawake Duniani kwenye TBC akihojiwa na Shabani Kissu.

She is just everything a woman needs to be!. Ingekuwa ni amri yangu ningetaka wanawake wenye uongozi, madaraka na mamlaka waige mfano wa Mwanamke huyu and to be honest I wish if Mungu angemua, huyu mama ndio akawa, then amini usiamini tutakuwa na Tanzania nzuri 100 times kuliko Tanzania hii tulionayo sasa!.

Ingekuwa ni amri yangu, ningemwambia tuu naniliu aamue 2020 asigombee his second term, na badala yake, ampishe ili awe huyu mama!.

Paskali
Na hapa tukashauri tena "Watu waachwe Huru kuujadili Muungano"- VP, Samia Suluhu Hassan. Huyu mama anaongea vizuri kwa Unyenyekevu mpaka raha. Huchoki kumsikiliza
Wanabodi,

leo nimepata fursa ya kuangalia TV ya Zanzibar, ZBC, Mwandishi wa habari wa CCM Zanzibar, Daudi Ismail anamhoji Makamo wa Rais wa JMT, Mhe. Samia Suluhu Hassan anauzungumzia Muungano, kiukweli huyu Mama Samia anauzumguza vizuri muungano huku akiongea kwa heshima, taratibu, kwa utulivu na unyenyekevu, na anaongea vizuri mpaka raha, na huchoki kumsikiliza, utatamani aendelee tuu kuongea na kipindi kisiishe!.

Kwa hoja za muungano Mama Samia alizoshusha, ningekuwa ni uwezo wangu, ningeshauri October 2020, Mama Samia ndiye ampokee Dr. Shein kule Zanzibar, ili 2025, aje ampokee Magufuli, maana kwa maoni yangu, kwa uongeaji huu, huyu mama ndiye Mzanzibari pekee anayekubalika kuweza kuchagulika kuwa rais wa JMT kutokea Zanzibar, vinginevyo Wazanzibari wausahau kabisa urais wa Muungano, wao mwisho wao ni umakamo wa rais pekee.

Kwa hoja kama hizi za huyu mama Samia, kama age sio issue sana, si huyu mama atatufaa sana 2025 au tuwashauri kwa vile Magufuli analamika sana kuhusu urais, mara ni mateso, mara ni kazi ngumu, mara ni mzigo mzito, tumshauri rais Magufuli, kwa vile Samia anatosha sana, hivyo tumpunguzie mateso, hana haja ya kuendelea na mateso, mzigo mzito na kazi ngumu ya urais, na hata kama ni wale tausi au wanyama wa Magogoni, au yale majabali ya Chamwino, tutamjengea Chato na kumuomba bora apumzike tuu mapema, na kumpisha Mama Samia ndio amalizie ngwe yake iliyobakia?. Hili mnalionaje?.

Paskali
Sijui hata kama ushauri huu aliuona akaupuuzia, ila matokeo ndio kama vile!, baada ya kukamilisha kazi, akaitwa!.

Kwa vile Magufuli ni aliletwa na YEYE MWENYEWE na ametwaliwa na YEYE MWENYEWE, tumewaambia watu humu, wauheshimu ukweli huu! Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani

Kama ilivyokuwa kwa Magufuli, aliletwa just for a specific purpose, baada ya kuikamilisha alipaswa kupisha, yeye akataka kuendelea akasitishwa!, vivyo hivyo kwa Samia, pia ni mpango wa Mungu kwa Tanzania Samia Mpango wa Mungu kwa Tanzania: Kwa Hili, Atabarikiwa!, Taifa Litabarikiwa!. Asante Mungu kwa Samia, Mungu Mbariki Samia, Mungu Ibariki Tanzania anatakiwa atimize alichoitiwa na kupisha!.

Na sasa ili kumsaidia Samia, nimeonelea Mama tumsaidie mapema, kwanza kwa kumuunga mkono kuwa Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye! ila pia kumuwekea hivi vijisauti sauti tunavyo visikia Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke
P
 
Magufuli alikayataliwa na Mungu mwenyewe kwa sababu alipopata madaraka kidogo akajifanya mungu-mtu.

Huwezi kuiba uchaguzi wa 2020 wote, unauwa wapinzani, unafukuza watu kazi, unaiba fedha za wafanya biashara halafu Mungu akakuacha.

Ile ni TAKA TAKA iache iendelee kuoza huko Chato
Acha kumuandama mtu kwa mfumo wa system yenyewe. Lini kumekuwa na uchaguzi huru na haki? Alifanya walichofanya all leader sema yeye alizidisha ukali.
 
Hakuna mtu atanishawishi Magufuli alikuwa mbaya under this katiba. Yani tukae kimya. Nakama kweli tunataka kurusha mawe kwa Magufuli basi badilini katiba maana naona hakuna ambaye hatoenda gerezani mwacheni alale kwasababu mmekuwa vingi kwa hii siasa ya chama kimoja chini ya mwamvuli wa siasa ya vyama vingi.
 
Connection ipo mkuu P, ingawa inaweza isiwe ile anayotaka tuione mleta mada.

Kushushwa na kupandishwa yote ni majaribu.

Ayubu alishushwa, akakubali kuwa chini. Huyu mwingine alipandishwa, akataka kuwa juu zaidi.

Kila mtu ana hitimisho lake kuhusu hatima ya huyu wa pili lakini hatima ya Ayubu iko wazi kabisa.

“Mungu amenitupa kwenye matope nami nami nimegeuzwa kuwa mavumbi na majivu”(Ayubu 30: 19).

“Nilikuwa nakusikia tu lakini leo nimeuona uso wako. Nami naichukia nafsi yangu na naungama katika mavumbi na majivu”(Ayubu 42:6).

Huyo ndio Ayubu.

Mpole mpaka mwisho.

Twaweza kubeti kuwa aliendelea hivyo hata baada ya kurudishiwa afya yake na mali zake.

Tusiwalilie wala kuwalaumu waliotangulia mbele za haki bali tujifunze kutoka kwenye maisha yao na tujirekebishe.

Tunao uchaguzi juu ya hatima ya maisha yetu hata kama ni kile tu ambacho wengine watasema tukiwa tumesha lala usingizi wa mauti.

Timshel!
Umeelezea vizuri sana mkuu, kongole kwako kwa namna ulivyomwelezea Ayubu jinsi alivyopitishwa kwenye tanuru lakini hakuthubutu kukengeuka kutenda inavyompendeza Mungu wake hatimaye aliyekuwa anamjaribu akajiridhisha Auyubu alikuwa na moyo uliopotendeka na rehema zake zikamrejeshea mema.

Viongozi waache viburi kutokana na vyeo vya kifalme ambavyo vinafanana na nguo zinazochakaa, kutatuka na kuchuja zikatupwa bila thamani yoyote. Sifa za mjivuno za binadamu huwa ni za muda na mwisho wake ni majuto.
 
Tumuache hayati alale salama,
Aliaga kabla hajafa.
Inawezekana hata yeye alituchoka.
Eloi eloi mungu nakuja kwako
Mateso ya wanadamu aliyokuwa akiyapitia JPM anapokuwa ofisini au amepumzika nyumbani kutoka kwa watu aliokuwa anawajua vizuri na hata kumpangia hitimisho la uhai wake lilimfanya amsogelee Mungu wake ndio maana siku zote alikuwa akiwaaga wananchi bila wenye kung'amua ni kitu gani kilikuwa kinamsibu "Mtanikumbuka, tena mtanikumbuka kwa mazuri.....tuendelee kufanya kazi kwa ajili ya maendeleo na tutembee kifua mbele..."
Kuliko kiongozi alikuwa ana kiburi akiaswa na viongozi wa kiroho anawajibu jeuri kana kwamba yeye ndie mtoa pumzi.
 
Hakuna mazuri ya kumkumbuka Magufuli. Na kufa kwake ni kwa sababu ya madhammbi yake dhidi ya watanzania.

Kumkumbuka kwa ujenzi wa madaraja na mabarabara ni UPUUZI. Kwakuwa yale yalikuwa ni majukumu yake kama Rais na alikuwa analipwa mshahara.

Lakini kitendo chake cha kutaka matajiri waishi kama maskini hatuwezi kukosahau kwa kuwa ule ni UHAYAWANI wa hali ya juu. Na Mungu ASINGEMUACHA kwa kosa hilo
 
Back
Top Bottom