Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Nitajie kiongozi aliyewahi kuiba uchaguzi wa vitongoji toka tupate uhuru?. Hivi kweli wewe TumainiEl inaingia akilini mwako kusema kuwa forms za wagombea wa UPINZANI zimekosewa zote huku CCM wakiwa wote wamejaza sahihi?Acha kumuandama mtu kwa mfumo wa system yenyewe. Lini kumekuwa na uchaguzi huru na haki? Alifanya walichofanya all leader sema yeye alizidisha ukali.
Jamani acheni yule DIKTETA aendelee kuungua na moto wake, mnachuma dhambi kumtetea