Stuxnet JF-Expert Member Joined Feb 12, 2011 Posts 13,417 Reaction score 23,310 May 30, 2023 #41 TumainiEl said: Acha kumuandama mtu kwa mfumo wa system yenyewe. Lini kumekuwa na uchaguzi huru na haki? Alifanya walichofanya all leader sema yeye alizidisha ukali. Click to expand... Nitajie kiongozi aliyewahi kuiba uchaguzi wa vitongoji toka tupate uhuru?. Hivi kweli wewe TumainiEl inaingia akilini mwako kusema kuwa forms za wagombea wa UPINZANI zimekosewa zote huku CCM wakiwa wote wamejaza sahihi? Jamani acheni yule DIKTETA aendelee kuungua na moto wake, mnachuma dhambi kumtetea
TumainiEl said: Acha kumuandama mtu kwa mfumo wa system yenyewe. Lini kumekuwa na uchaguzi huru na haki? Alifanya walichofanya all leader sema yeye alizidisha ukali. Click to expand... Nitajie kiongozi aliyewahi kuiba uchaguzi wa vitongoji toka tupate uhuru?. Hivi kweli wewe TumainiEl inaingia akilini mwako kusema kuwa forms za wagombea wa UPINZANI zimekosewa zote huku CCM wakiwa wote wamejaza sahihi? Jamani acheni yule DIKTETA aendelee kuungua na moto wake, mnachuma dhambi kumtetea