Jaribu ubunifu wa aina hii katika ujenzi wako wa nyumba. Simple, Unique and Healing

Jaribu ubunifu wa aina hii katika ujenzi wako wa nyumba. Simple, Unique and Healing

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
46fb6a7c9ca2255c78827ae7a627fd0d.jpg

075c556d3c9c5783f7380def21818d2a.jpg



Macho ya mtanzania hayawezi kuona vitu in details, ndio maana atahukumu mara moja kitu atakachokiona in terms of mazoea yake au kiasi cha tabu yake.

Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa ubunifu wa hali ya juu, mbongo hawezi kuona simplicity na uniqueness ya hii nyumba basi atakuja na comments za "we unajua hii ni shingapi kujenga"😏

Typical mla ugali.
 
Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa ubunifu wa hali ya juu, mbongo hawezi kuona simplicity na uniqueness ya hii nyumba basi atakuja na comments za "we unajua hii ni shingapi kujenga"
Umetoa idea ,alafu unajitahidi kuzifunga mind za watu katika kuwaza,




Tuanze hiyo car parking umetumia materials Gani kuijenga, kama ni zege ,cement na mchanga siyo ghalama ndogo,


Binafsi naiyona simple house ambayo siyo ghalama ndogo kama unavowaza,, vinginevyo SEMA ni kwa materials zipi!?
 
Back
Top Bottom