Kuna nyumba kadri unavyoifanya simple ndio ghalama za ujenzi zinazidi kuwa kubwa. Ukishasema simple ukaongeza na neno class basi mambo yanabadirika kabisaNyumba simple au sio......
Umetoa idea ,alafu unajitahidi kuzifunga mind za watu katika kuwaza,Tofauti na kuchambua matako makubwa kwa ubunifu wa hali ya juu, mbongo hawezi kuona simplicity na uniqueness ya hii nyumba basi atakuja na comments za "we unajua hii ni shingapi kujenga"