Jaribuni kuwa na shukrani


  1. Utasikia Sasa Hivi:-

  2. Umenipotezea Muda

  3. Hukuwa Muoaji

  4. Huna Mapenzi

 
Yan kiti na pazia moja ndio unalalamika hvyo !!? Kuna kingne nyuma ya hvyo vitu
 
Mpatie yaishe..fanya kama ndio kiinua mgongo chake wengine tuliacha nyumba na magari na leo hawana kitu wanahemea
 
We mpe aende usitupigie kelele humu mbona lako dogo mkuu siku ukipata mdada ambae anaroga ndo utaelewa.
siku ukipata mdada ambae anaroga ndo utaelewa.[emoji23]
Umeumwa na nyoko wewe..[emoji23]
 
Mkuu we mpatie tu , huwa hawakumbuki hayo ,
Halafu kumbuka mpenzi hasomeshwi
 
Afuate ushauri huu atakushukuru
 
Alitakiwa akudai na figo maana ulijipendekeza kusomesha mtu asiye nduguyo, na unakuta una ndugu na jamaa kibao walitaka msaada wako na hukufanya lolote
 
Sasa unatuuliza sisi? Mbona yeye hajakuja huku?
 
ni hasira tu hizo si kwamba kweli anataka umrudishie. na mimi kuna kipindi nilitaka kufanya hivyo ila nikawaza na mimi nikidaiwa vyake ambavyo vilizidi maradufu ya nilivyompa nikaacha. mpe mda hasira zikipoa hatadai.
 
Wanawake Mungu ana waona
 
dogo, sasa wewe ulikuwa huna kiti wala pazia? unanitia aibu jamani hebu fanya urudishe vitu vya mwenzio

ila umekuwa na gats gani kuleta huu uzi?

ahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…