Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpatie yaishe..fanya kama ndio kiinua mgongo chake wengine tuliacha nyumba na magari na leo hawana kitu wanahemeaIpo hivi:
Tumedumu kwenye mahusiano kama mwaka hivi, imefikia muda sasa nataka kuoa halafu yeye dini tofauti na naona kuna mambo tunatofautiana sana, dini amekataa kubadilisha anataka nibadilishe mimi
Sasa leo nimemwambia tu bora kila mtu atafute wa kufanana naye anaanza kudai eti nataka kiti na mapazia yangu niliyoyaacha kwako, yaani kiti na na pazia moja anaona ni gharama kubwa kuliko pesa zangu nilizomlisha kumsomesha nakumlipia kodi kwa mwaka mmoja.
Kwanini wasichana wengi wa sasa hamna shukuran? Na mimi nikisema anilipe ataweza kweli
siku ukipata mdada ambae anaroga ndo utaelewa.[emoji23]We mpe aende usitupigie kelele humu mbona lako dogo mkuu siku ukipata mdada ambae anaroga ndo utaelewa.
Tena kifutu..🤣siku ukipata mdada ambae anaroga ndo utaelewa.[emoji23]
Umeumwa na nyoko wewe..[emoji23]
HahahahaTena kifutu..[emoji1787]
Mkuu we mpatie tu , huwa hawakumbuki hayo ,Ipo hivi:
Tumedumu kwenye mahusiano kama mwaka hivi, imefikia muda sasa nataka kuoa halafu yeye dini tofauti na naona kuna mambo tunatofautiana sana, dini amekataa kubadilisha anataka nibadilishe mimi.
Sasa leo nimemwambia tu bora kila mtu atafute wa kufanana naye anaanza kudai eti nataka kiti na mapazia yangu niliyoyaacha kwako, yaani kiti na pazia moja anaona ni gharama kubwa kuliko pesa zangu nilizomlisha kumsomesha nakumlipia kodi kwa mwaka mmoja.
Kwanini wasichana wengi wa sasa hamna shukurani? Na mimi nikisema anilipe ataweza kweli?
Mkuu we mpatie tu , huwa hawakumbuki hayo ,
Halafu kumbuka mpenzi hasomeshwi
Afuate ushauri huu atakushukuruYaani na nyie vijana wa siku hizi mnachelewa kukomaa kiakili. Ndio mambo ya kuja kulalamikia hayo kweli?.
Hata kama huna kipato,jifunze kuona mali au vitu sio kitu cha kukunyima amani moyoni. Sio kitu cha kuumiza moyo. Wewe mpe tu hivyo vitakataka. Tena mwambie kama kuna kingine aseme,tena jifanye umekosea mpe hata viti viwili mapazia hata manne. Hivyo ni nini mbele ya utu?.
Unaonekana hata wewe sio mstaarabu,kulilia takataka hizo. Nafikiri kinachokuuma sio hivyo bali ni zile hela ulizompa umesema na kumsomesha. Hivyo vyote fanya kama ulinywea pombe,hivyo vyote vihesabie hukuwahi kuwa navyo.
Songa mbele na mambo yako ya maana,achana na kulilia mapazia au ada ulizomlipia. Utachelewa.
Anataka kuanza nayo maisha na mwanamke mwingine, hiyo ndiyo hataki dada ex.
Ila na wee kaka ex pazia na kiti umeanzisha thread??!
Naona mnachapa watu shoo kaliBee,umetuita🤣
Kila Mtu Ashinde Match Zake,Kwa Mkapa Hatoki Mtu
Sasa unatuuliza sisi? Mbona yeye hajakuja huku?Ipo hivi:
Tumedumu kwenye mahusiano kama mwaka hivi, imefikia muda sasa nataka kuoa halafu yeye dini tofauti na naona kuna mambo tunatofautiana sana, dini amekataa kubadilisha anataka nibadilishe mimi.
Sasa leo nimemwambia tu bora kila mtu atafute wa kufanana naye anaanza kudai eti nataka kiti na mapazia yangu niliyoyaacha kwako, yaani kiti na pazia moja anaona ni gharama kubwa kuliko pesa zangu nilizomlisha kumsomesha nakumlipia kodi kwa mwaka mmoja.
Kwanini wasichana wengi wa sasa hamna shukurani? Na mimi nikisema anilipe ataweza kweli?
Wanawake Mungu ana waonaIpo hivi:

dogo, sasa wewe ulikuwa huna kiti wala pazia? unanitia aibu jamani hebu fanya urudishe vitu vya mwenzioIpo hivi:
Tumedumu kwenye mahusiano kama mwaka hivi, imefikia muda sasa nataka kuoa halafu yeye dini tofauti na naona kuna mambo tunatofautiana sana, dini amekataa kubadilisha anataka nibadilishe mimi.
Sasa leo nimemwambia tu bora kila mtu atafute wa kufanana naye anaanza kudai eti nataka kiti na mapazia yangu niliyoyaacha kwako, yaani kiti na pazia moja anaona ni gharama kubwa kuliko pesa zangu nilizomlisha kumsomesha nakumlipia kodi kwa mwaka mmoja.
Kwanini wasichana wengi wa sasa hamna shukurani? Na mimi nikisema anilipe ataweza kweli?
We unaona hapa kuna mwanaume,mwanaume angakomalia mapazia