Jaribuni kuwa na shukrani

Ila wanawake akili zenu banaa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚et mamaake kakitunza kitumbua mpaka yeye kaja kukitumbua vipi na mama wa mwanaume hajatunza mjegeje wa jamaa????๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚huo wote ni ubinafsi tu ndo yaleyale ya hela ya mwanamke ni yake pekee na ya mume ni ya familia just selfishmess!!!

Yaan ww pesa yako uchezee then utegemee ya mume ilhali kama familia mnahitaji mambo mengi muwe na asset, ada za watoto, mahitaji ya ndan, maendelea ya familia, miradi, akiba etc then useme hayo yote atafanya mume ilhali naww unakitu cha kuingiza kipato!!!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ubinafsi!!!!!
 
Mi binafsi ninekuelewa sanaa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ