Edudue
JF-Expert Member
- Jun 13, 2020
- 317
- 599
Ila wanawake akili zenu banaa😂😂😂😂et mamaake kakitunza kitumbua mpaka yeye kaja kukitumbua vipi na mama wa mwanaume hajatunza mjegeje wa jamaa????😂😂huo wote ni ubinafsi tu ndo yaleyale ya hela ya mwanamke ni yake pekee na ya mume ni ya familia just selfishmess!!!Hivi thamani ya kitumbua ulichokuwa unakula unapotaka na pesa ulizokuwa unampa vinalingana?
Mama yake kakitunza kitumbua mpaka umekuja kukitumbua wewe... Sasa mpe mapazia yake tena mwongezee na mafweza juu😁😁 ili msahauliane na asinung'unike
Yaan ww pesa yako uchezee then utegemee ya mume ilhali kama familia mnahitaji mambo mengi muwe na asset, ada za watoto, mahitaji ya ndan, maendelea ya familia, miradi, akiba etc then useme hayo yote atafanya mume ilhali naww unakitu cha kuingiza kipato!!!!😂😂ubinafsi!!!!!