Jaribuni kuwa na shukrani

Jaribuni kuwa na shukrani

Hivi thamani ya kitumbua ulichokuwa unakula unapotaka na pesa ulizokuwa unampa vinalingana?

Mama yake kakitunza kitumbua mpaka umekuja kukitumbua wewe... Sasa mpe mapazia yake tena mwongezee na mafweza juu😁😁 ili msahauliane na asinung'unike
Ila wanawake akili zenu banaa😂😂😂😂et mamaake kakitunza kitumbua mpaka yeye kaja kukitumbua vipi na mama wa mwanaume hajatunza mjegeje wa jamaa????😂😂huo wote ni ubinafsi tu ndo yaleyale ya hela ya mwanamke ni yake pekee na ya mume ni ya familia just selfishmess!!!

Yaan ww pesa yako uchezee then utegemee ya mume ilhali kama familia mnahitaji mambo mengi muwe na asset, ada za watoto, mahitaji ya ndan, maendelea ya familia, miradi, akiba etc then useme hayo yote atafanya mume ilhali naww unakitu cha kuingiza kipato!!!!😂😂ubinafsi!!!!!
 
Fanya stuli kabisa ya 5,000 sio kiti cha cello, kiti cha cello ghali sana

Tumeelewana sasa kua tufanye stuli???
Ok, tuendelee

Nilikua nalipa 1,200,000 kwa mwaka kodi ya nyumba (kwa mwezi 100k)

Kula 50,000 kwa week (200k kwa mwezi)
Bado kuna ada, saluni, smartphone, vocha,
Angalia kwa mwaka nilikua natumia shngap, halafu naachana nawewe unanidai kitu cha 5,000 tena umekomalia kabisa, tena hicho kitu chenyewe ulinunua kwa pesa zangu, halafu unaleta ugomvi unataka kiti chako na mapazia ya elfu 30

Shukran yako ipo wapi hapo??
Mi binafsi ninekuelewa sanaa mkuu
 
Back
Top Bottom