Deportivo la coruna
Senior Member
- Aug 16, 2021
- 141
- 248
- Thread starter
- #81
Endeleeni kudangaNimeshangaa an
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kudangaNimeshangaa an
Haujaelewa nilichomaanisha, kasome tenaJambo dogo tu hilo mkuu,mrudishie.
NASHUKURU KWA KUNIELEWA, WAPO MAZUZU HAPA WANASEMA ETI NADAI MAPAZIA NA KITI, YANI HIYO NI KAMA NIME INCLUDE NA WALE AMBAO WASHATOA SANA VITU VYA THAMANI, LAKINI KWENYE KUACHANA WANADAIWA VITU VIDOGO SANA WALIVYOPEWAAnataka mgawane mali kwan mna ndoa?alale mbele hukoo.,bora umeanza kujua litabia mbaya lake
Haujaelewa, soma tena ukielewa rudiMpatie tu vitu vyake mbona hivyo ni vitu vidogo sana?
Rejea #84Mrudishie kiti chake, unanunua kingine
#84 rejea, ukielewa rudi tena hapaWe unaona hapa kuna mwanaume,mwanaume angakomalia mapazia
Rejea #84Mwanaume wa kweli habishana na MWANAMKE anampatia anachotaka anasepa[emoji4][emoji4][emoji1787][emoji1787]
Rejea #84, kaa tulia, soma vizuri, rudi tena hapaAnataka kuanza nayo maisha na mwanamke mwingine, hiyo ndiyo hataki dada ex.
Ila na wee kaka ex pazia na kiti umeanzisha thread??!
Soma vizuri, rejea #84Unahofia ukimpa kiti chake utakaa chini. Kiti chenyewe kinaonekana kile cha cello.
Rejea ya nini. Mpe mali yakeSoma vizuri, rejea #84
Fanya stuli kabisa ya 5,000 sio kiti cha cello, kiti cha cello ghali sanaRejea ya nini. Mpe mali yake
We nimwanaume wa ajabu kuwahi kutokea! Yaani unaona uko sawa kwa ulicholeta hapaEndeleeni kudanga
Mpe mali zake hakukushikia bunduki ugharamikeFanya stuli kabisa ya 5,000 sio kiti cha cello, kiti cha cello ghali sana
Wewe endelea na biashara yako sijakuita uchangie, sio lazima kila uzi uchangieWe nimwanaume wa ajabu kuwahi kutokea!yaani unaona uko sawa kwa ulicholeta hapa
Kaka hao watu ndo wako hivyo kuna mmoja nilipiga chini kwa uninafsi kama huu tukabaki tunaheshimiana tu yaan mtu unaenda likizo mkoa kaniagiza nimchukulie mafuta singida pale nkambebea lita 5 fresh kasema ntakurudishia hela yako hapo lita 5 kama 15k tu nimefika kaja kayachukua home next day na akanipa 10k then 5k kaanza sound nkampotezea tu coz 5k sio issue maana keshagakula hela zangu zaid ya hiyo na nshakula papuch yake mara nyingi piaIpo hivi:
Tumedumu kwenye mahusiano kama mwaka hivi, imefikia muda sasa nataka kuoa halafu yeye