Mbu x 3 hawawezi jua hiliTangu lini TFF walipata mamlaka ya kuvunja mkataba halali? huyu Mama anampoteza dogo
Ila wana mamlaka ya kumbakisha iwapo yeye ameiandika barua Yanga ya kuomba kuvunja mkataba.Tangu lini TFF walipata mamlaka ya kuvunja mkataba halali? huyu Mama anampoteza dogo
Ndio mikataba inavunjwaga hivyo?Ila wana mamlaka ya kumbakisha iwapo yeye ameiandika barua Yanga ya kuomba kuvunja mkataba.
Feisal ana mkataba na TFF? niwekee kifungu kinachoipa mamlaka TFF kuvunja mkataba halali kati ya timu na mchezajiIla wana mamlaka ya kumbakisha iwapo yeye ameiandika barua Yanga ya kuomba kuvunja mkataba.
Jamaa Wazee wako hawajapoteza Gharama kukulipia adaIla wana mamlaka ya kumbakisha iwapo yeye ameiandika barua Yanga ya kuomba kuvunja mkataba.
Hawa mbumbumbu hawana akili kabisa kila siku TFF inatoa muongozo aende kwenye club yake amekaza shingo ngoja aendelee kuzurulaNdio mikataba inavunjwaga hivyo?
Sijui watu mnafikiria kwa njia gani sijui.
Fei mwenyewe anasema Hana shida na Yanga ila ana shida na Eng Hersi! Ye aliingia mkataba na Hersi au na Yanga?
AahhaaaaaaJamaa Wazee wako hawajapoteza Gharama kukulipia ada
Ndio mikataba inavunjwaga hivyo?
Sijui watu mnafikiria kwa njia gani sijui.
Fei mwenyewe anasema Hana shida na Yanga ila ana shida na Eng Hersi! Ye aliingia mkataba na Hersi au na Yanga?
TFF inaingilia maamuzi yake ya kuomba kuvunja mkataba na Yanga kwa vifungu vipi?Feisal ana mkataba na TFF? niwekee kifungu kinacho ipa mamlaka TFF kuvunja mkataba halali kati ya timu na mchezaji
Ana shida na Hersi rais sijui mwenyekiti wa yanga. Bila mwenyekiti/ rais ambae ni Hersi yanga haijakamilika. Yanga sio jiwe Bali inajumuisha kuanzia viongozi, Mashabiki, miundombinu n.k.Ndio mikataba inavunjwaga hivyo?
Sijui watu mnafikiria kwa njia gani sijui.
Fei mwenyewe anasema Hana shida na Yanga ila ana shida na Eng Hersi! Ye aliingia mkataba na Hersi au na Yanga?