Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

Jasmine Razack: Feitoto amekwisha fungua kesi CAS dhidi ya TFF na sio Yanga!

... 🚨 'Feisal kaishitaki (TFF) sio Yanga!'

Msimamizi wa Feisal Salum, Bi. Jasmine Razack asubuhi hii amesema kuwa, tayari Feisal amelipa pesa ya awali na amefungua jalada (CAS).

Amesema, kwenye kesi hiyo, Feisal hajaishitaki YANGA huko CAS, ameishitaki (TFF) kwa kushindwa kuvunja mkataba wake na Yanga na kumuamuru arejee Yanga.

"Shauri ni baina ya (TFF) na Feisal. YANGA hawahusiki, hajawashitaki"

©️ Jasmine Razack

View attachment 2643365
SI AMESEMA MPK SASA MCHANGO UMEFIKIA MIL9 TU!
 
TFF jukumu lake ni lipi pale mchezaji anapoandika barua ya kuomba kuvunja mkataba na club kukataa maombi ya mchezaji na kukatokea kutokuelewana?
TFF wametimiza jukumu lao la kumrudisha kwenda kuzungumza na Yanga. Pia Yanga wametimiza jukumu lao kumuita kwa ajili ya mazungumzo, Maana mkataba huvunjwa kwa makubaliano ya pande mbili.Swala linabaki kwa mchezaji kuweka jeuri, asipokuwa makini huko CAS anaweza kuhukumiwa adhabu kubwa zaidi.
 
TFF wametimiza jukumu lao la kumrudisha kwenda kuzungumza na Yanga. Pia Yanga wametimiza jukumu lao kumuita kwa ajili ya mazungumzo, Maana mkataba huvunjwa kwa makubaliano ya pande mbili.Swala linabaki kwa mchezaji kuweka jeuri, asipokuwa makini huko CAS anaweza kuhukumiwa adhabu kubwa zaidi.
Okey, nieleweshe hapa.

Fei hakutimiza jukumu lake kwa kwa masaa 6 ya mazungumzo na Hersi?

Alirudi TFF kuomba mwongozo wa kuvunja mkataba na Yanga kabla ya mazungumzo?

Zile option tatu alizozieleza Eng zinazomlazimisha Fei kubaki Yanga ni sehemu ya hayo mazungumzo?
 
Barua ya kuomba kuvunja mkataba siyo hatua ya kwanza ya kuvunja mkataba?
Hiyo barua ya kwanza ya kuomba kuvunja mkataba alitakiwa kumuandikia MWAJILI WAKE siyo TFF 😂😂
 
Pengine mimi ndio sijui sakata lilivyoanza. Hivi TFF aliingilia au aliingizwa? Ni nani aliyepeleka mashtaka TFF?
1. Yanga ndo walienda wakaambiwa huyo ni mchezaji wenu na Fei akaambiwa kaa na mwajiri wako ww ni mchezaji wao.

2. Wakakaa masaa 6 ikishindikana Fei akarudi TFF kuomba taratibu za kuvunja mkataba TFF wakamwambia nenda Yanga,

3. Fei akakata rufaa TFF wakamwambia hili suala tumemaliza nenda Yanga.

Fei akaenda CAS.
 
Tff ni baba wa hao wote!inapoonekana wamekosa muafaka basi baba anapaswa kuingilia kati.Nafikiri yasingefika huko CAS.
Kumbe ni mpaka inapoonekana wamekosa muafaka? Basi hawajakosa muafaka! Maana Kijana ameitwa wakazungumze amekataa, Na hatua ya awali ya TFF ni kumrudisha wakazungumze kwanza, kama ingeshindikana then wangejua hatua ya kuchukua, Lakini kijana kaweka jeuri kwenda kuzungunza, Mbaya zaidi hana sababu za msingi kuvunja mkataba.
 
Barua ya kwanza ilienda kwa mwajiri. Iliambatana na m100.
Pengne unasukumwa na ushabiki . Hvi unazifahamu taratibu za mchezaji kuvunja mkataba na timu ?.
Hilo ndo kosa la Feisal ambapo Kuna hatua alitakiwa kuzifuata yeye akaziruka na kukimbilia kutumbukiza hela kwenye akaunti ya MWAJILI WAKE 😂😂😂.
TFF wamemwambia Rudi mkavunje mkataba na yanga . Hata yanga wenyewe wanamwita mezani wayamalize hataki 😂😂. Anakalia ku
piga kelele mama yangu .....! Wanamfananisha mama na andazi .....😂.
 
Back
Top Bottom