Elections 2015 Jasusi Colonel Apson Mwang'onda atua Dodoma

Elections 2015 Jasusi Colonel Apson Mwang'onda atua Dodoma

."Nimekuja hapa kwa kazi moja tu kuhakikisha Edward Lowassa kamwe Hachaguliwi kuwa Rais wa nchi hii", nilimnukuu Jasusi huyo akijigamba kwa Mtu wake wa karibu aliyekuwa naye hotelini hapo...

Nenda kamuulize huyu ''mtu wake wa karibu'' nae amuulize Mwangoda atahakikishae Lowassa hachaguliwi wakati Mwangoda haingii ndani ya CC. Then urudi utupe mrejesho.
 
rajabs niambie best hivi nini maana ya neno JASUSI?
 
Last edited by a moderator:
Nadhani kuna ukweli ndani yake kataja mpaka hotel aliyofikia kinachofanya mkatae ni nini ?.

Wabongo bwana... Sasa wewe una uhakika gani kama hiyo hotel alotajwa ndio aliokuwepo? Trust nothing and suspect everything
 
Ukiambiwa ukweli jifunze kuukubali hata kama wakati mwingine unauma

Sijakataa kama sio kweli. Quote yangu ilikusudia kujua maelezo uliyoyatoa, kwamba kaingiza marais wote, ukimaanisha hata Nyerere?
 
Mnajitahid aisee

Najitahidi kwa lipi?
Mtu anajiandikia tu, sijui nchimbi kaingiza marais wote? Wote akimaanisha hata Nyerere? Hata Mwinyi?
Na kama hao nao kawaingiza madarakani, mbona umri kama hauruhusu?
 
Najitahidi kwa lipi?Mtu anajiandikia tu, sijui nchimbi kaingiza marais wote? Wote akimaanisha hata Nyerere? Hata Mwinyi?Na kama hao nao kawaingiza madarakani, mbona umri kama hauruhusu?
Mh! mnajua kudadavua
 
rajabs

Huu Uzushi umepikwa na membe ni mjinga pekee anaweza kuuamini !
 
Last edited by a moderator:
Du kila jambo mnamtupia Membe anawasumbua nini au mmegundua ndiye atakayepeperusha bendera ya CCM?
 
Mzee APSON yupo Dsm Kama nia yenu Timu membe ni kujua alipo nadhani sasa mmejua yupo Dsm sasa huo Uzushi wenu pelekeni huko kwa wenye ufinyu wa kuchambua tetesi , Membe kwa akili zake anadhani ataweza kuwachonganisha Rostam Aziz na Apson , wewe membe laana na damu ya marehemu balozi wa Libya inakutafuna hadi umepagawa ngoja Raia wa Libya waje kukudaka upelekwe The Hague kwa kesi ya kuiba mapesa ya Gadafi na kumpoteza balozi ili kuficha Ushahidi.
 
Du kila jambo mnamtupia Membe anawasumbua nini au mmegundua ndiye atakayepeperusha bendera ya CCM?

Membe ndiye mratibu na mfadhili mkubwa wa mtandao wa kumpakazia na kumchafua Lowasa .
 
Wakati Watu Wakijenga Mnala Mungu Aliwafitinisha Akawachanganya Kidogo Tu Wakashindwa Kuelewana Lugha, Sasa Naona Amewachanganya Ccm Wanashindwa Kuelewana Ukawa Kiulaini Ikulu.
 
Huu Uzushi umepikwa na membe ni mjinga pekee anaweza kuuamini !
Hapa Membe anahusikaje, kwani yupo Dodoma au mnamwogopa baada ya kujua ndiye anayepewa nafasi kubwa ya kupeperusha bendera ya CCM?
 
Wabongo bwana... Sasa wewe una uhakika gani kama hiyo hotel alotajwa ndio aliokuwepo? Trust nothing and suspect everything

Timu membe hao wapo busy sasa membe kacheza mahakamani mramba na yona wafungwe ili iwasaidie kubusti serikali Yao .
 
Hamjachoka kumuandikia Uzi kila siku Mh? Au mgombea ni mmoja tu jamani?
Safari ya matumaini ileeeeeee
 
Wakati Watu Wakijenga Mnala Mungu Aliwafitinisha Akawachanganya Kidogo Tu Wakashindwa Kuelewana Lugha, Sasa Naona Amewachanganya Ccm Wanashindwa Kuelewana Ukawa Kiulaini Ikulu.

Ni kweli Hizo fitna za membe na Ndugu yake zitawapeleka Ukawa ikulu kiulaini
 
Membe ndiye mratibu na mfadhili mkubwa wa mtandao wa kumpakazia na kumchafua Lowasa .

Kama kuna ushahidi mngeuweka, my take, Membe has many advantages over El, sio fisadi, anaweza kujieleza na kujenga hoja ana exposure etc,etc,etc
 
Back
Top Bottom