Jasusi hatari nyuma ya NGO nchini Burkina Faso.


Oh ndio maaana makoloni yake yana muengua moja baada ya moja, majeshi yana rejeshwa kwao ufaransa

Jibu Hawa kuweza kujasusi yajayo sababu hakuna wanacho nufaika kwa kuwepo pale na kuwa na ubalozi hapo
 
It is more of propaganda.....The era of cold war again.
 
Hii taarifa kama ni kweli ilitolewa ni mwendelezo wa propaganda za uongo za Urusi. Yani Burkinafaso ina nini hadi ifanyiwe upelelezi na Ulaya nzima?. Hii ni ile ya Urusi kutangaza amekata maabara za kibailojia Ukraine na mpaka leo hajataja chochote alichokamata.
 
Ni uongo mkubwa sana. Uko wazi kabisa.πŸ˜€πŸ˜€
 
unamuacha tu arudi kwao salama ila vifaa vyake vya ujasusi aache
Sikubaliani na hili maana kama ingekuwa ni mtu mweusi kakamatwa kwa ujajusi huko kwao wangemnyonga, huyu auliwe tu, hana faida kwetu.
 
Ushasema lilikua shamba lake sasa kama analijua vema left and right alifanyie ujasusi apate nini kipya sasa? Yani kuku wake mwenyewe amuundie manati! Basics za usalama zinapaswa kufundishwa mashuleni kwa wabongo aisee
Hapo ndo wanapotushida wazungu...Wanaamini strategies zinabadilika so research ni muhimu!
 
Hao ni majasusi gani wapumbavu hivyo kupiga picha kwa satellite kisha kuzituma kwa simu?

Yaani satellite ipige picha ikiwa angani, kisha ichakate itume kwenye simu ya mbibi yuko Burkina Faso. Ili huyo mbibi atume picha NATO? Kwanini satellite isitume direct kwenye kituo chake cha kukusanya taarifa?
Kwamba huyo mmama alikuwa anatuma taarifa blindly na hajui kama imefika au haijafika kwa mlengwa?

Iko hivi kwenye medani, kila agent anakuwa na handler. Wote wanawasiliana na lazima kuwepo mrejesho, handler asipopata taarifa ya agent atatafuta kwanini agent hajatoa taarifa. Agent asipopata feedback, handler atatafuta sababu ni nini.

Shirika la kijasusi likitoa task, handler akaifikisha kwa agent kisha agent akatekeleza, anaiwasilisha. Kitendo cha shirika kukosa report kitachochea waulize kwanini, agent atasema ametuma, watasisitiza hawajapokea na mara moja watachunguza taarifa imeishia wapi.

Huu ujasusi wa kijiweni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…