Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,384
We jamaa toka juzi unatudanganya, hivyo vipande hata hauna wenye navyo wanashusha tuu bila kuuliza wangapi wapo
Nimegundua wewe ni Boxer sio HondaMimi ndio honda mwenyewe sasa nafatilia kwa makini kabisa jinsi navyosimuliwa
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Jamaa unazingua sana, kama vipi turudishie LIKES zetu[emoji3525][emoji3525][emoji3525]Wangap mpo active nishushe vipande vingine vitatu chap kidogo
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Uboxer autoe wapi huyu? Atakuwa baiskeli ya mbao tu huyuNimegundua wewe ni Boxer sio Honda
haahaaa uckute mwenyewe anateswa na arostoJamaa unazingua sana, kama vipi turudishie LIKES zetu[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
SwalaUboxer autoe wapi huyu? Atakuwa baiskeli ya mbao tu huyu
Soon nashusha mzigo worry outJamaa unazingua sana, kama vipi turudishie LIKES zetu[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
AnazinguaaaaJamaa unazingua sana, kama vipi turudishie LIKES zetu[emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Anapataga muda kwa wiki Mara moja na ka episode kamoja
Ngoja tusubiri kesho kule stanza angalau unajua inatoka kila jumatano na ijumaa
Haujaisoma kabisa??Nitag mzee nije nisome nami
Simulizi:The President and I(Mimi Na Rais) - JamiiForumsNitag mzee nije nisome nami
angalia Mkuu usije ukatushushia mzigo Wa mavi ukatuletea shida Kijiweni hapa tukimsubili bwana Kudo alete mamboWangap mpo active tushushe mzigo?
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Hahaha haha haha haha hahaha shhπππππangalia Mkuu usije ukatushushia mzigo Wa mavi ukatuletea shida Kijiweni hapa tukimsubili bwana Kudo alete mambo
Sent using Jamii Forums mobile app
Wangap mpo active tushushe mzigo?
Sent using my iPhone using jamiiforum app