Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

Bado hoja yangu inasimama.Yanayowakumba Ukawa ni Mungu tu atakayeweza kuepusha kifo kibaya cha Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa.
 
Jingalao kajipange upya na hii imebuma
 

Unalipwa shilingi ngapi kwa kuanzisha mada zako zisizo na kichwa wala miguu?.
 
Chadema haitakaa ife as long as kuna vyama vingi tanzania
 
Huyu jamaa nimuita kwa majina yanayofanana na ID yake mode wata delete wakidai nimetumia lugha mbaya au nimemuita majina mabaya wakati wao walioiruhusu hiyi ID hapa jukwaani
 
Huyu jamaa nimuita kwa majina yanayofanana na ID yake mode wata delete wakidai nimetumia lugha mbaya au nimemuita majina mabaya wakati wao walioiruhusu hiyi ID hapa jukwaani
Tukana tu...hoja itaendelea
 
Maskini,hukuuona mtego.
 
Uzi umefufuka

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Napata shida sana na hawa ndg zng ambao wanashindwa kutofautisha nyakati ivi unaweza kuzungumza mambo ya 1995 leo 2015 kweliii..tz ya mwaka 1995 cyo ya leo 2015 hakuna hata ki2 kimoja cha kulinganisha
Karibu tena Jamvini tujadili
 
Hii ya leo Ni gia gani hewani...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wataalamu wa gia ya Hewani mtujuvyee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…