Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

Elections 2015 Jasusi la CCM lilivyoiuwa CHADEMA

Bado hoja yangu inasimama.Yanayowakumba Ukawa ni Mungu tu atakayeweza kuepusha kifo kibaya cha Chadema chini ya mwamvuli wa Ukawa.
 
Hii ni historia nyingine inawekwa Tanzania kama ile ya miaka ya tisini na ushee!

ambapo mh Mrema jasusi mzoefu alivyotumwa na CCM kuanzisha upinzani na hatimaye kuhakikisha upinzani na chama cha NCCR kinadumaa mpaka leo.

Chadema walijitahidi sana kupambana na mamluki kabla ya kuangukia pua mwaka 2015.

Napenda thread hii ibaki katika kumbukumbu ili wanafunzi wa kizazi kijacho juu ya mambo ya siasa nchini wajifunze.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

Unalipwa shilingi ngapi kwa kuanzisha mada zako zisizo na kichwa wala miguu?.
 
Chadema haitakaa ife as long as kuna vyama vingi tanzania
 
Huyu jamaa nimuita kwa majina yanayofanana na ID yake mode wata delete wakidai nimetumia lugha mbaya au nimemuita majina mabaya wakati wao walioiruhusu hiyi ID hapa jukwaani
 
Unaongelea mwaka 95 wakati CCM ingari imara, tena na Nyerere alikuwa yu ngali hai.....leo mwaka 2015 CCM i vipande vipande chini ya M/kiti JK, Kinana na Mangula ni kama wanalazimishwa kufanya kazi, MKAPA,MWINYI,KARUME na wazee wengine kama kina Warioba na Butiku wnatamani CCM ife waangalie ustaarabu mwingine.
Maskini,hukuuona mtego.
 
Hii ya leo Ni gia gani hewani...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Wataalamu wa gia ya Hewani mtujuvyee
 
Back
Top Bottom