Duc in altum
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 2,076
- 4,656
Au tuamini ya Mange Tanganyika ndio biashara yakeKipindi flani tuliskia dola zimeadimika, lakini watito wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
Mods msiunganishe sasa ni uhuru kenyata.Kipindi flani tuliskia dola zimeadimika, lakini watito wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
Na kwa level ya kumiliki dollari kiasi kile cha watoto kusema zipo za kuchota sehemu ni wazi huyu yupo level za kuwa muwekazaji sio mfanyabiashara wa kawaida.Kipindi flani tuliskia dola zimeadimika, lakini watito wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
Makuwadi wa soko huriaKipindi flani tuliskia dola zimeadimika, lakini watito wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
Hakika Tanganyika imebakwa awamu hiiMakuwadi wa soko huria
Tafta hata mlima wowote wa Tanganyika uuze, figo bei ndogoNawaza kuuza figo mkuu na mm nipige picha nazo...
Sahihi mkuuTunaelekea pazuri sana kwenda kupata ukombozi wa kweli.
Uzuri Viongozi wa juu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama wakiwa mafisadi inaondoaga morali sana kwa Watumishi wa chini kiasi kuamua lolote na liwe.
Haya yanayoendelea sasa ndo njia yenyewe ya kwenda kufanya mapinduzi ya kuikomboa kweli Tanzania hasa Tanganyika.
Labda alifanyiwa blackmailing...! Maana mambo mengine waweza kupata mshituko!....tupate dolari.
Udalali wa kimataifa, kuuza Idara.Kipindi flani tuliskia dola zimeadimika, lakini watito wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
Kipindi flani tuliskia dola zimeadimika, lakini watito wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.
Kuna sehemu nyingi sana mafisadi wanaweza chota dolari, sehemu za utalii, kuna baadhi ya malipo yanafanyika kwa dollar, na pia hawa watu wakubwa wakienda badilisha pesa benki kupata dollar uwa hawawekewi kikomo cha kubadilisha, sio kama sisi wengine mara mwisho 1000USD, kuna siku niliwah kwenda NMB wakasema mwisho wa kununua dollar ni 300 USD, zaidi ya hapo nahitaji barua kutoka BOT.Kipindi flani tuliskia dola zimeadimika, lakini watito wa jasusi mkuu wanapiga nazo picha kama hela za nyanya
Wananzengo, hili jasusi kuu linamiliki biashara zipi na sisi tupate dolari.