Jasusi Mkuu na ukwasi wake wa ‘Dolari’ - ana biashara gani!?

Jasusi Mkuu na ukwasi wake wa ‘Dolari’ - ana biashara gani!?

Biashara yake kubwa ni kuteka,kutesa na kuua wanachama wa Chadema.
 
Kuna sehemu nyingi sana mafisadi wanaweza chota dolari, sehemu za utalii, kuna baadhi ya malipo yanafanyika kwa dollar, na pia hawa watu wakubwa wakienda badilisha pesa benki kupata dollar uwa hawawekewi kikomo cha kubadilisha, sio kama sisi wengine mara mwisho 1000USD, kuna siku niliwah kwenda NMB wakasema mwisho wa kununua dollar ni 300 USD, zaidi ya hapo nahitaji barua kutoka BOT.
Hawa majasusi wetu ni hatari sana, nao ni sehemu ya ufisadi kumbe
 
Back
Top Bottom