Jasusi Mrembo Aliyemwangusha Charles Taylor Rais wa liberia

Jasusi Mrembo Aliyemwangusha Charles Taylor Rais wa liberia

Ndio unisonkole hivyo🥹
Hivi unajua Naomi Campbell alifika Icc kuhojiwa kipindi kesi ya Charles Taylor inanguruma pale Icc?.. kitendo cha kuwa pale tu ilitosha tu kujiongeza kwa wenye akili za ziada za kuvukia Barbara kujua tu jamaa alionja utamu😂😂.. kwani wewe ni mgeni na wanawake vs money?
 
Mimi Mgeni maeneo hayo!😁
 
Mimi Mgeni maeneo hayo!😁
Hata Google haiwezi kumsingizia Naomi Campbell so usimtetee sana ..☺️☺️☺️☺️. Sema nini ..Naomi alikuwa Mzuri jamani.. ingekuwa ni Mimi ningemhonga hata kisiwa cha Unguja dadeki 😎😎😎
Screenshot_20260608-064228~2.jpg
 
Marekani wamemtumia yeye Charles Taylor kusaidia makundi ya waasi pale Sierra Leone lengo kuu kuiba Madini !!!
Umepiga mlemle.. CIA baada ya kumtumia kama tissue paper wakamtelekeza..... sema huyu janja alikiwasha sana pale Afrika magharibi ..... Nadhani pia ndio Hollywood walikuja na wazo la kutengeneza filamu moja hivi inaitwa Blood diamond aliyoicheza Leonardo DiCaprio na Djimon Hounsou....
 
Ilikuwa ni miaka ya 90 kuelekea 2000. Pale Liberia kulikuwa na Rais mmoja mbabe sana, anaitwa Charles Taylor. Huyu jamaa alikuwa haambiliki, alikuwa anafadhili vita vya Sierra Leone wapigane wenyewe kwa wenyewe..

CIA walikuwa wanamtamani sana, lakini walikosa njia ya kuingia Ikulu kwake.

Sasa, CIA wakapiga hesabu Huyu mwanaume anapenda sana warembo. Hapo ndipo wakamvuta binti mmoja fundi, mrembo balaa na kichwa chake nihatari, anaitwa Alicia Macy.

Alicia aliingia nchini kama mfanyakazi wa kutoa misaada . Alijua kuvaa, alijua kuongea, na alijua namna ya kumfanya mwanaume yeyote ageuke shingo.

Haikuchukua muda, akajisogeza kwenye duru za karibu na Rais. Siku moja kwenye bonge la party, Charles Taylor akatupa jicho kwa Alicia. Akatupa tabasamu moja la gharama. Taylor akaingia kingi, hakujua kuwa huyo mwanamke ni "sumu" iliyotumwa na Washington.
Kazi nyingine bwana, yaani unatumwa ukatoe mwili wako kwa mtu na wewe unakubali eti uko kazini? Sijui Tailor angekuwa shoga ingekuwaje, wangetuma mwanaume?
 
Umepiga mlemle.. CIA baada ya kumtumia kama tissue paper wakamtelekeza..... sema huyu janja alikiwasha sana pale Afrika magharibi ..... Nadhani pia ndio Hollywood walikuja na wazo la kutengeneza filamu moja hivi inaitwa Blood diamond aliyoicheza Leonardo DiCaprio na Djimon Hounsou....
ile inamuhusu Sanko
 
Back
Top Bottom