Jasusi Mrembo Aliyemwangusha Charles Taylor Rais wa liberia

Ndio unisonkole hivyoπŸ₯Ή
Hivi unajua Naomi Campbell alifika Icc kuhojiwa kipindi kesi ya Charles Taylor inanguruma pale Icc?.. kitendo cha kuwa pale tu ilitosha tu kujiongeza kwa wenye akili za ziada za kuvukia Barbara kujua tu jamaa alionja utamuπŸ˜‚πŸ˜‚.. kwani wewe ni mgeni na wanawake vs money?
 
Mimi Mgeni maeneo hayo!😁
 
Mimi Mgeni maeneo hayo!😁
Hata Google haiwezi kumsingizia Naomi Campbell so usimtetee sana ..☺️☺️☺️☺️. Sema nini ..Naomi alikuwa Mzuri jamani.. ingekuwa ni Mimi ningemhonga hata kisiwa cha Unguja dadeki 😎😎😎
 
Dahh sema kutoka na raisi sio mchezo! Kwahiyo akahongwa diamonds hivyo tu😎
 
Marekani wamemtumia yeye Charles Taylor kusaidia makundi ya waasi pale Sierra Leone lengo kuu kuiba Madini !!!
Umepiga mlemle.. CIA baada ya kumtumia kama tissue paper wakamtelekeza..... sema huyu janja alikiwasha sana pale Afrika magharibi ..... Nadhani pia ndio Hollywood walikuja na wazo la kutengeneza filamu moja hivi inaitwa Blood diamond aliyoicheza Leonardo DiCaprio na Djimon Hounsou....
 
Kazi nyingine bwana, yaani unatumwa ukatoe mwili wako kwa mtu na wewe unakubali eti uko kazini? Sijui Tailor angekuwa shoga ingekuwaje, wangetuma mwanaume?
 
ile inamuhusu Sanko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…