Jasusi nchini - utaratibu wa kuripoti ukoje?

Jasusi nchini - utaratibu wa kuripoti ukoje?

Vipi bado haujatoa report? niPM nikusaidie contacts za respectable civil servant akuassist
 
Kwanini kila anayechangia mada kwa kutoa maelekezo mujarabu anamalizia kwa kutoa udhuru kuwa yeye sio AFISA USALAMA WA TAIFA? Je! hii sio kazi kama kazi nyingine. Tofauti ninayoiona ni UMAKINI, USIRI NA KUITOKUBALI kazi waifanyayo? Mtizamo wangu; sehemu mujarabu kama uko dar ni GETINI kwani utakutana na walinzi wa rais (sehemu ya TISS), na rahisi kuingilika. Kama inaona inakupa shida tafuta ofisi ya usalama wa taifa mkoa (RSO) au ofisi ya usalama wa taifa wilaya (DSO).
 
naona mmejidhatiti kuilinda nchi ya tz, lakini ni kazi ngumu kugundua kazi za kijasusi
za mataifa yaliyoendelea kwani wanatumia technolojia ya kiwango cha juu kwa mfano
CIA wanakompyuta ambayo huwezi kusoma kitu kilichoingizwa ndani yake mpaka upate
administrator code kutoka makao makuu yao na code hiyo hutolewa kila baada ya siku 3
kwa muhusika na hakuna mfumo wowote unaoweza ku hacking system yao , kwahiyo
ni vema tukawa na mabadiliko makubwa ya utunzaji habari zetu, na sio siraha kwani
sisi hatutengenezi vifaa bali tunanunua vitu ambavyo wao wamevitengeneza
 
Hii ni habari nzito. Kama ni kweli basi inabidi uwasiline kwanza na polisi walio karibu ili wakusaidie hata ki ushauri
 
Happy New Year wana JF,

Utaratibu ukoje wa kuripoti kuwa kuna jasusi au mtu unayeshuku au una uhakika kuwa ni spy anakusanya taarifa nchini kwa manufaa ya taarifa nchi anayoitumikia?

Je usalama wa taifa una kitengo cha kudeal with such cases? If yes kinaitwaje?

Nina taarifa muhimu. Police najua hawana jinsi ya kudeal na swala hili kwani wako bize sana na crime and ufisadi issues 🙁

Hii thread nii ya tangu January 2010, je bado hujapata msaada?? Na kama kweli ni jasusi yuko nchini si atakuwa ameshamaliza kila kitu alichotaka kufanya? Hebu tupe update mkuu.

 
Kwani siku hizi Tanzania bado ina siri yoyote ya kuweza kutunzwa?
 
@newmzalendo
hebu tupe update mpaka leo umefikia wapi je uliripoti kwa rso,au dso na wamechukua hatua gani na je jasusi alikamatwa au alisepa kwani jamaa ni makini sana si rahisi kuwagundua sijui ulitumia kigezo gani kumgundua
 
pole jasusi kwa kushituka sijui kweli km ni jasusi halisi. Issue km hiyo waweza toa taarifa kwa mdomo kwa kwenda kuonana na DSO au kufika kituo cha polisi na kuomba kuonana na kiongozi yeyote nagazi ya wilaya na kuendelea,au waweza piga simu au kuandkika ujumbe na kuupeleka sehemu tajwa km hutaki kujulikana make mtoa taarifa si lzm ajulikane,si kweli polisi wako busy sana make hili nalo pia ni kosa,ukienda kwa mbunge au DC lazima atakuja polisi au kwenda UWT,polisi na UWT wanafanya kazi pamoja tena polisi wana taarifa karbia zote za uhalifu wa kila aina na wkt mwingine UWT huwategemea sana polisi ktk kupata taarifa zao,km huamini jaribu kufuatilia kwa sababu UWT hawapendi kujulikana tofauti na polisi hivo polisi huwa na taarifa nyingi mno.
 
Back
Top Bottom